.Na taarifa imfikie kijana wa ovyo USM ALGER
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Na taarifa imfikie kijana wa ovyo USM ALGER
[emoji16]Najua mkuu, mi nawasemea mashabiki wa YangaWewe ni Mgeni hapa, Mshana ni Simba damu.
huyo kijana mbuzii sanaaa ,😅😅Na taarifa imfikie kijana wa ovyo USM ALGER
😒😒😒😒😒😒Nailazimisha furaha moyoni nina majonzi [emoji23]
[emoji23][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Hawakufa bado wako hai.. Waliibuka wengi kwa kishindo na leo hawapo tenaKwani ile miaka 30 ambayo walikua hoi hawakua na rangi ya kijani?
Mshana Jr, my Brother, Mbona unaomba kujiabisha mwenyewe mapema sana.Pamoja na woga wa kafara la maji(mvua) kuna uwezekano mkubwa wa kumfunga mwarabu kwao na kuondoka na kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia ya soka nchini
Yanga inawakilishwa na rangi ya kijani ambayo kiasili ni rangi inayowakilisha uhai, kiroho rangi ya kijani ni rangi yenye nguvu mno!
Kijani hakiwezi kusitawi bila maji, na maji hutokea kwa namna nyingi na mojawapo ni mvua! Ni maji ya mvua pekee ndio huleta ustawi wa kijani kwa ukubwa na kwa haraka na bila gharama!
Kafara la maji kwa yanga kutoka SIMBA huwa linafanikiwa kwakuwa SIMBA ni rangi nyekundu kiwakilishi cha moto! Kijani kwenye nyekundu hakina nguvu kabisa!
Kama Yanga hawajafanya kafara lolote la kumwaga damu leo gemu ni lao
Mark my words!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mtoto Mdogo, wenzako wapo deep wameshachungulia.Mshana Jr, my Brother, Mbona unaomba kujiabisha mwenyewe mapema sana.
Muda unasema wenyewe stay online!!!
Uzalendo!Mshana Jr, my Brother, Mbona unaomba kujiabisha mwenyewe mapema sana.
Muda unasema wenyewe stay online!!!
Wapare ninasikia huwa wanaloga michezo labda Ndio miujiza tunayosubiria.Wewe ni mtoto Mdogo, wenzako wapo deep wameshachungulia.
Tuseme AmeeeenUSM ALGER 0 - 2 YANGA
🤣🤣Mchawi Mshana akisema ni nani wa kupinga?
SawasawaMimi ni Yanga damu! Ila kwenye hii mechi Waarabu nawapa 80% ya ushindi, na Yanga nawapa 20% pekee.
Kukosekana kwa Aucho pale kati, kumevuruga kabisa timu yetu. Huu ni ukweli mchungu.