Yanga ataishangaza dunia

Mshana kweli yanatoka moyoni.
 
Yaani nitakunywa kahawa na
 
All the best my team
 
Kumbe wiki iliyopita wakigongwa 2-1 Kwa Mkapa hiyo rangi ya kijani uliyoitaja iligeuka na kuwakilisha kifo sio? na bado.

Kifo hicho hicho kitaenda kuwakuta Algeria.
 
Rangi nyekundu leo haina mwangaza kabisaaaaaa
 
Mimi ni Yanga damu! Ila kwenye hii mechi Waarabu nawapa 80% ya ushindi, na Yanga nawapa 20% pekee.

Kukosekana kwa Aucho pale kati, kumevuruga kabisa timu yetu. Huu ni ukweli mchungu.
Aucho sio Mungu msitake kumpa utukufu na kujidanganya, sio kila mechi anayokuwepo Aucho huwa mnashinda, hata mnyama aliwakamua huyo Aucho akiwepo.
 
Mungu wa pastor Mashimo hawezi kukubali mtumishi wake azomewe na wanayanga.

Utabiri upo hivi yanga haiwezi kuchukua kombe kwa sababu walikaidi kutoa zaka kila wanapopokea mamilioni kutoka kwa Samia.

Mashimo aheshimie.
 
Aucho sio Mungu msitake kumpa utukufu na kujidanganya, sio kila mechi anayokuwepo Aucho huwa mnashinda, hata mnyama aliwakamua huyo Aucho akiwepo.
Huu ni mtazamo wangu. Hivyo huna sababu ya kunipangia. Halafu hakuna sehemu kwenye maelezo yangu nimesema Aucho ni Mungu.
 
Mimi nasema leo yanga anashinda.

Usiku wa kuamkia ijumaa nimeota hadi dkk ya 47 yanga anaongoza 2 bila
 
Kama yanga hawajafanya kafara lolote la kumwaga damu bas gemu ni lao!

nanukuu!

ni ngumu waganga wao wasichinje hata njiwa KWA hiyo washaharibu!!
 
Ndio ataishangaza dunia kwa kuipokea kipigo heavy mpaka watu watajiuliza alifikaje finally
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…