myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
🤣🤣Kaka yangu naona unawapa moyo ila vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Kaka yangu naona unawapa moyo ila vizuri
Eenh bwana acha tu awape moyo ila moyoni anajua huo muujiza ni ngumu [emoji23] kama haji manara yanga ikifungwa anaenda kuchekea chooni[emoji1787][emoji1787]
Yule jamaa sijaweza kumwelewa kabisa🤣Eenh bwana acha tu awape moyo ila moyoni anajua huo muujiza ni ngumu [emoji23] kama haji manara yanga ikifungwa anaenda kuchekea chooni
Mshana kweli yanatoka moyoni.Pamoja na woga wa kafara la maji(mvua) kuna uwezekano mkubwa wa kumfunga mwarabu kwao na kuondoka na kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia ya soka nchini
Yanga inawakilishwa na rangi ya kijani ambayo kiasili ni rangi inayowakilisha uhai, kiroho rangi ya kijani ni rangi yenye nguvu mno!
Kijani hakiwezi kusitawi bila maji, na maji hutokea kwa namna nyingi na mojawapo ni mvua! Ni maji ya mvua pekee ndio huleta ustawi wa kijani kwa ukubwa na kwa haraka na bila gharama!
Kafara la maji kwa yanga kutoka SIMBA huwa linafanikiwa kwakuwa SIMBA ni rangi nyekundu kiwakilishi cha moto! Kijani kwenye nyekundu hakina nguvu kabisa!
Kama Yanga hawajafanya kafara lolote la kumwaga damu leo gemu ni lao
Mark my words!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nitakunywa kahawa naPamoja na woga wa kafara la maji(mvua) kuna uwezekano mkubwa wa kumfunga mwarabu kwao na kuondoka na kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia ya soka nchini
Yanga inawakilishwa na rangi ya kijani ambayo kiasili ni rangi inayowakilisha uhai, kiroho rangi ya kijani ni rangi yenye nguvu mno!
Kijani hakiwezi kusitawi bila maji, na maji hutokea kwa namna nyingi na mojawapo ni mvua! Ni maji ya mvua pekee ndio huleta ustawi wa kijani kwa ukubwa na kwa haraka na bila gharama!
Kafara la maji kwa yanga kutoka SIMBA huwa linafanikiwa kwakuwa SIMBA ni rangi nyekundu kiwakilishi cha moto! Kijani kwenye nyekundu hakina nguvu kabisa!
Kama Yanga hawajafanya kafara lolote la kumwaga damu leo gemu ni lao
Mark my words!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na woga wa kafara la maji(mvua) kuna uwezekano mkubwa wa kumfunga mwarabu kwao na kuondoka na kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia ya soka nchini
Yanga inawakilishwa na rangi ya kijani ambayo kiasili ni rangi inayowakilisha uhai, kiroho rangi ya kijani ni rangi yenye nguvu mno!
Kijani hakiwezi kusitawi bila maji, na maji hutokea kwa namna nyingi na mojawapo ni mvua! Ni maji ya mvua pekee ndio huleta ustawi wa kijani kwa ukubwa na kwa haraka na bila gharama!
Kafara la maji kwa yanga kutoka SIMBA huwa linafanikiwa kwakuwa SIMBA ni rangi nyekundu kiwakilishi cha moto! Kijani kwenye nyekundu hakina nguvu kabisa!
Kama Yanga hawajafanya kafara lolote la kumwaga damu leo gemu ni lao
Mark my words!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa haji manara ndio leo kaka yangu mshana [emoji23]Yule jamaa sijaweza kumwelewa kabisa[emoji1787]
Utopolo unavyojipa moyo kwa nguvu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ni mtoto Mdogo, wenzako wapo deep wameshachungulia.
Aucho sio Mungu msitake kumpa utukufu na kujidanganya, sio kila mechi anayokuwepo Aucho huwa mnashinda, hata mnyama aliwakamua huyo Aucho akiwepo.Mimi ni Yanga damu! Ila kwenye hii mechi Waarabu nawapa 80% ya ushindi, na Yanga nawapa 20% pekee.
Kukosekana kwa Aucho pale kati, kumevuruga kabisa timu yetu. Huu ni ukweli mchungu.
Mungu wa pastor Mashimo hawezi kukubali mtumishi wake azomewe na wanayanga.Pamoja na woga wa kafara la maji(mvua) kuna uwezekano mkubwa wa kumfunga mwarabu kwao na kuondoka na kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia ya soka nchini
Yanga inawakilishwa na rangi ya kijani ambayo kiasili ni rangi inayowakilisha uhai, kiroho rangi ya kijani ni rangi yenye nguvu mno!
Kijani hakiwezi kusitawi bila maji, na maji hutokea kwa namna nyingi na mojawapo ni mvua! Ni maji ya mvua pekee ndio huleta ustawi wa kijani kwa ukubwa na kwa haraka na bila gharama!
Kafara la maji kwa yanga kutoka SIMBA huwa linafanikiwa kwakuwa SIMBA ni rangi nyekundu kiwakilishi cha moto! Kijani kwenye nyekundu hakina nguvu kabisa!
Kama Yanga hawajafanya kafara lolote la kumwaga damu leo gemu ni lao
Mark my words!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mtazamo wangu. Hivyo huna sababu ya kunipangia. Halafu hakuna sehemu kwenye maelezo yangu nimesema Aucho ni Mungu.Aucho sio Mungu msitake kumpa utukufu na kujidanganya, sio kila mechi anayokuwepo Aucho huwa mnashinda, hata mnyama aliwakamua huyo Aucho akiwepo.
Mimi nasema leo yanga anashinda.Pamoja na woga wa kafara la maji(mvua) kuna uwezekano mkubwa wa kumfunga mwarabu kwao na kuondoka na kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia ya soka nchini
Yanga inawakilishwa na rangi ya kijani ambayo kiasili ni rangi inayowakilisha uhai, kiroho rangi ya kijani ni rangi yenye nguvu mno!
Kijani hakiwezi kusitawi bila maji, na maji hutokea kwa namna nyingi na mojawapo ni mvua! Ni maji ya mvua pekee ndio huleta ustawi wa kijani kwa ukubwa na kwa haraka na bila gharama!
Kafara la maji kwa yanga kutoka SIMBA huwa linafanikiwa kwakuwa SIMBA ni rangi nyekundu kiwakilishi cha moto! Kijani kwenye nyekundu hakina nguvu kabisa!
Kama Yanga hawajafanya kafara lolote la kumwaga damu leo gemu ni lao
Mark my words!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yanga hawajafanya kafara lolote la kumwaga damu bas gemu ni lao!Pamoja na woga wa kafara la maji(mvua) kuna uwezekano mkubwa wa kumfunga mwarabu kwao na kuondoka na kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia ya soka nchini
Yanga inawakilishwa na rangi ya kijani ambayo kiasili ni rangi inayowakilisha uhai, kiroho rangi ya kijani ni rangi yenye nguvu mno!
Kijani hakiwezi kusitawi bila maji, na maji hutokea kwa namna nyingi na mojawapo ni mvua! Ni maji ya mvua pekee ndio huleta ustawi wa kijani kwa ukubwa na kwa haraka na bila gharama!
Kafara la maji kwa yanga kutoka SIMBA huwa linafanikiwa kwakuwa SIMBA ni rangi nyekundu kiwakilishi cha moto! Kijani kwenye nyekundu hakina nguvu kabisa!
Kama Yanga hawajafanya kafara lolote la kumwaga damu leo gemu ni lao
Mark my words!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ataishangaza dunia kwa kuipokea kipigo heavy mpaka watu watajiuliza alifikaje finallyPamoja na woga wa kafara la maji(mvua) kuna uwezekano mkubwa wa kumfunga mwarabu kwao na kuondoka na kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia ya soka nchini