Yanga ataishangaza dunia

Yanga mechi ya marudiano na Club Africain waliroga saaana. Tulipoteza ndugu zetu wengi kwa ushindi ule. Jana wasingeweza kutoboa kwa kile walichofanya.

Kwanza picha lilianza walivyoshindwa kuvaa nguo zao nyeusi maana zingeendana na home kit ya USMA. Body language ya wachezaji ukiangalia toka mwanzo walishajua kutoboa ilikuwa haiwezekani.
 
NA KWELI DUNIA IMESHANGAA BAADA YA MIAKA 88 NDIO UNACHEZA FAINAL? NA BADO UNAAMBULIA MEDALI DUNIA IMESTAAJABU SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…