BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Pombe za Malawi ni hatari kwa afya ya akiliHuu ndio Ukweli mchungu ambao wana Yanga hawaujui au wameupuuza.
Wale wanaokumbuka Simba iliyotaka kushuka daraja, ile ya akina John Makelele Zigzaga, Simba iliyokuwa Mbovu kuliko zote watanielewa.
WanaSimba wenzangu wote njooni Uwanjani.
Kweli wewe ba vichaa ndo maana huwa unamatumaini hewa hata kwenye siasaHuu ndio Ukweli mchungu ambao wana Yanga hawaujui au wameupuuza.
Wale wanaokumbuka Simba iliyotaka kushuka daraja, ile ya akina John Makelele Zigzaga, Simba iliyokuwa Mbovu kuliko zote watanielewa.
WanaSimba wenzangu wote njooni Uwanjani.
WanaSimba wenzangu wote njooni Uwanjani.
Shida ya Utopolo sijui mkoje tu!Mkishinda nyie mnasema ni MAUWEZO YENU, ila mkifungwa na Simba ni aidha MMEWAACHIA tu au KUNA HUJUMA. Mna Matatizo ya problem kwakweli.Ile Mechi ya 1989 usiifananishe na Mechi nyingine. Hakuna cha maana kilifanyika na kina Makelele zaidi ya Yanga kutimiza maelekezo ya FAT. Nchi hii Hakuna ushabiki bila Simba na Yanga kuwa kwenye ligi moja. Kuna watu huwa nawasikia wanajifariji eti ili soka likue Simba na Yanga zife Kwanza. Hawajui historia. Yanga alipoteteleka na kuzaliwa Pan African imara Hakuna cha maana kilichotokea, na Simba ilipoteteleka Hadi kukaribia kushuka daraja, Yanga walilazimika kugharimia ubingwa uliobebwa na Coastal Union ili mtani wao asishuke daraja.
Wakati huo Pamba ilikuwa Moto na ilikuwa kama Tawi la Simba. Lakini isinheweza kuchukua nafasi ya Simba.
Huko tulikwishatoka yanga haiwezi tena kuwaonea huruma ni kupiga kwenye mshono hadi mjipange zama hizo ziliisha tunautaka ubingwa wa tatu mfululizo.Huu ndio Ukweli mchungu ambao wana Yanga hawaujui au wameupuuza.
Wale wanaokumbuka Simba iliyotaka kushuka daraja, ile ya akina John Makelele Zigzaga, Simba iliyokuwa Mbovu kuliko zote watanielewa.
WanaSimba wenzangu wote njooni Uwanjani.
KabisaHuu ndio Ukweli mchungu ambao wana Yanga hawaujui au wameupuuza.
Wale wanaokumbuka Simba iliyotaka kushuka daraja, ile ya akina John Makelele Zigzaga, Simba iliyokuwa Mbovu kuliko zote watanielewa.
WanaSimba wenzangu wote njooni Uwanjani.
Kakolanya anakuita ukajibu tuhuma dhidi yenu.Viongozi wa 5imba ndio mmefikia hatua hii kweli? Takukuru naomba muingie kazini