mlambaji asali
Senior Member
- Jan 30, 2023
- 150
- 505
Sasa kama unaongozwa na aliyeko kwenye kombe la mabumbunda wewe tukuiteje?Kombe la walioshindwa wanacheza na mabumunda wenzao wataachaje kupata goli.
Vipers na Al hilal walimkalisha Yanga Lupaso.
Naitwa wao ni wao naomba uniite baada ya mechi kuna jambo nikushirikishe lenye siri kubwa kwa siku ya leo .Ukiangalia ubora walionao Yanga basi utakubaliana namimi kuwa leo Hawa Real Bamako watakula goli kuanzia 4 na kuendelea.
Yanga ndio inaenda kuleta furaha kwa watanzania baada ya wale vilaza wa jana kurukaruka na mpira mbovu ambao ni wa kiwango cha timu za ndondo cup.
Yanga tamu[emoji172][emoji172][emoji169][emoji169]