Yanga atashinda goli zaidi ya 4 leo pale Lupaso

Yanga atashinda goli zaidi ya 4 leo pale Lupaso

mlambaji asali

Senior Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
150
Reaction score
505
Ukiangalia ubora walionao Yanga basi utakubaliana namimi kuwa leo Hawa Real Bamako watakula goli kuanzia 4 na kuendelea.

Yanga ndio inaenda kuleta furaha kwa watanzania baada ya wale vilaza wa jana kurukaruka na mpira mbovu ambao ni wa kiwango cha timu za ndondo cup.

Yanga tamu[emoji172][emoji172][emoji169][emoji169]
 
Kombe la walioshindwa wanacheza na mabumunda wenzao wataachaje kupata goli.
Vipers na Al hilal walimkalisha Yanga Lupaso.
Sasa kama unaongozwa na aliyeko kwenye kombe la mabumbunda wewe tukuiteje?
20230308_135705.jpg
 
Uto pambaneni muondoke na M 15 za mama na mimi nile hela huku odds 3 sio ndogo
 
4 mbona chache? Mimi naziona milion 35 za mama samia hapo ni goli 7 [emoji23]
 
Natamani wanipigie mpira mkubwa kama ule waliocheza na Tp Mazembe.
 
Kweli tunahitaji ushindi lakini hii game itakuwa ngumu sana kwa Yanga Yangu, labda tujirekebishe kwa haya mambo 3.
1. Tundoe pressure ya mchezo
2. Tusiruhusu short pieces kirahisi
3. Tuwe waangalifu kwenye short pices
 
Okey ; kweli ni Siku yenu wanawake duniani. Tutawapongeza kama mtashinda kwa goli hizo dhidi ya wanawake wenzenu.
 
Ukiangalia ubora walionao Yanga basi utakubaliana namimi kuwa leo Hawa Real Bamako watakula goli kuanzia 4 na kuendelea.

Yanga ndio inaenda kuleta furaha kwa watanzania baada ya wale vilaza wa jana kurukaruka na mpira mbovu ambao ni wa kiwango cha timu za ndondo cup.

Yanga tamu[emoji172][emoji172][emoji169][emoji169]
Naitwa wao ni wao naomba uniite baada ya mechi kuna jambo nikushirikishe lenye siri kubwa kwa siku ya leo .

Natumai taarifa nitakazokupa hutozipenda ila ndiyo hivyo wewe ni shabiki tu ndugu yangu .
 
We unadhani kumfunga mtu nne ni kazi rahisi hivyo
 
Back
Top Bottom