Yanga atatambulishwa nani usiku wa leo?

Yanga atatambulishwa nani usiku wa leo?

Clatous Chama tayari bado hao wanne.
IMG-20240626-WA0006.jpg
 
Baada ya alfajiri ya Leo Yanga kumtambulisha mchezaji Bora na mkubwa sana clatus Chama .
Sasa Yanga wamehaidi kumtambulisha mchezaji mkubwa.
Tutabiri, je huyo mchezaji ni nani?
Mayele wa mediama🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️
 
Mimi ni mtu wamwisho kuamini Yanga imemsajili Chama.Sababu ninazo hizi.

1. Picha ya mkono wa kushoto wa chama akisaini makaratasi ina pete.Nimeangalia picha recently za Chama sikuona hiyo pete.Labda amewe ameanza kuvaa karibuni.

Angalia picha ya Chama ina kivuli shavuni wakati picha ilivyopigwa inaonyesha kabisa haikupaswa kutoa kivuli.Kuna ishara za kuedit picha hapo.

2. Utambulisho wa Chama kwa Yanga
ni dhahili kuwa Yanga alikua akihangaika kuinasa saini ya Chama kwa miaka mingi sana.Nilitegemea usajili wake kuwa wa kishindo kikubwa sanaa.Sio kwa wepesi hivi hivi.

3. Maneno yaliyotumika kuelezea utambulisho wa Chama kwenye ukurasa wa Yanga ni ya kimtego.
Mwamba wa lusaka karibu Jangwani.

Taarifa nilitegemea kuona miaka aliyosaini Yanga lakini haiko hivyo.

See you.
 
Mimi ni mtu wamwisho kuamini Yanga imemsajili Chama.Sababu ninazo hizi.

1.Picha ya mkono wa kushoto wa chama akisaini makaratasi ina pete.Nimeangalia picha recently za Chama sikuona hiyo pete.Labda amewe ameanza kuvaa karibuni...
Endelea kuwa wa mwisho, inawezekana hata darasani ulikuwa wa mwisho vile vile. Hauna point hata moja, yaani Yanga idanganye ili iweje wakati kutumia tu picha ya Chana hata kama ni edited ni kosa kisheria. Yaani ndio umeumia kuliko watu wote ndio maana bado unaona kama ndoto
 
Rejected au mmemshindwa? Rejected huwa mnatoa thank you mbona hamkumpa hadi sasa?
Rejected wengi mbona wapo on queue na huyo alikuwa miongoni mwao.

Hivi unadhani mna huo msuli wa kumsajili mchezaji wa Simba ambaye bado anahitajika na Simba?
 
Back
Top Bottom