Mimi ni mtu wamwisho kuamini Yanga imemsajili Chama.Sababu ninazo hizi.
1. Picha ya mkono wa kushoto wa chama akisaini makaratasi ina pete.Nimeangalia picha recently za Chama sikuona hiyo pete.Labda amewe ameanza kuvaa karibuni.
Angalia picha ya Chama ina kivuli shavuni wakati picha ilivyopigwa inaonyesha kabisa haikupaswa kutoa kivuli.Kuna ishara za kuedit picha hapo.
2. Utambulisho wa Chama kwa Yanga
ni dhahili kuwa Yanga alikua akihangaika kuinasa saini ya Chama kwa miaka mingi sana.Nilitegemea usajili wake kuwa wa kishindo kikubwa sanaa.Sio kwa wepesi hivi hivi.
3. Maneno yaliyotumika kuelezea utambulisho wa Chama kwenye ukurasa wa Yanga ni ya kimtego.
Mwamba wa lusaka karibu Jangwani.
Taarifa nilitegemea kuona miaka aliyosaini Yanga lakini haiko hivyo.
See you.