Yanga atatambulishwa nani usiku wa leo?

Rejected wengi mbona wapo on queue na huyo alikuwa miongoni mwao.

Hivi unadhani mna huo msuli wa kumsajili mchezaji wa Simba ambaye bado anahitajika na Simba?
Ulimsikia msemaji wa Simba aliposema mnampenda na bado mnamuhitaji chama na mnahangaika mazungumzo yanaendelea? Tukuamini wewe au bwana Hemdi mkuu?
 
Amka utakojoa kwenye pant. Usafiri wenyewe wa kugombania amka uwahi kuamka ukageuze na gari
 
Ulimsikia msemaji wa Simba aliposema mnampenda na bado mnamuhitaji chama na mnahangaika mazungumzo yanaendelea? Tukuamini wewe au bwana Hemdi mkuu?
Hata mimi namkubali Chama sio kwasababu kaondoka eti nitaacha kumkubali.

Ni kama alivyokuwa Kagere mpaka leo namkubali.

Ila haiondoi uhalisia kuwa ni rejected.
 
Why akupewa thank you kama saidoo na hao wengineo?
Club ina utaratibu wake.

Legacy ya Chama ndani ya Simba huwezi kuifananisha na Saido.

Maana yake hata kwenye ishu ya kumuacha huwa kuna upekee ambao unakuwepo.
 
Vipi huyu nae ataagwa? Halafu sijaona Thank you kama aliyopewa Bocco.
 
Rejected wengi mbona wapo on queue na huyo alikuwa miongoni mwao.

Hivi unadhani mna huo msuli wa kumsajili mchezaji wa Simba ambaye bado anahitajika na Simba?
Kwahiyo Ajibu aliposajiriwq ilikuwa Zuwena fc, vipi kuhusu Kelvin Yonda?. Punguza ugolo.
 
Here ephen_
 
Tusubiri msimu uanze kama tutamuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…