Yanga baada hiki kipigo tulichopigwa na Simba leo Msolwa kuna haja abaki klabuni

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Hivi kweli Yanga shida nini uongozi au kuna jambo lingine manake kama pesa kwasasa ipo shida nini.

Hivi viongozi wanajua shida tunayopata mashabiki, hebu Msolwa na wenzake watupishe kidogo. Hivi Msolwa atakuja kutuambia nini klabuni na kumuelewa.

Nimeumia sana leo.
 
Msolwa ndiye nani, na kacheza namba ngapi.?
 
Timu yetu haiko vizuri sana! Viongozi kama wako siriaz msimu ujao walete wachezaji wa maana sio kina Yikpe na yule mtovu wa nidhamu!
 
Mlionywa sana kuhusu huyu mhuni Morrison kuwa msimchezeshe mkadharau, yule ana kinyongo na Yanga.
 
kwano msolwa bado ni kiongozi wa yanga mi nilisikia timu kaachiwa Eng hersi said
 
Tuseme ukweli,Yanga hakina kikosi makini ,huwezi hata kufananisha kikosi cha yanga na kagera sugar au namungo,ni kwa vile vyombo vya habari vinawakuza tu lakini yanga hamna kikisi makini ,lalamikieni usajili na siyo kufukuza viongozi,nye hamna wachezaji
 

Jiulize yanga ya mwinyi zahera haina mwenyekiti wala haina hela ilikuwaje performance vs yanga ya mwenyekiti msolla huku mkwasa huku nugaz na huku tajiri gsm mzee wa bonus mishahara na hela nyingi performance yake ikoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…