Yanga baada hiki kipigo tulichopigwa na Simba leo Msolwa kuna haja abaki klabuni

Tuseme ukweli,Yanga hakina kikosi makini ,huwezi hata kufananisha kikosi cha yanga na kagera sugar au namungo,ni kwa vile vyombo vya habari vinawakuza tu lakini yanga hamna kikisi makini ,lalamikieni usajili na siyo kufukuza viongozi,nye hamna wachezaji

Zahera alikuwa mtu sahihi sana yanga
 
Timu yetu haiko vizuri sana! Viongozi kama wako siriaz msimu ujao walete wachezaji wa maana sio kina Yikpe na yule mtovu wa nidhamu!

Zahera aliweza kuingoza yanga kwa sababu ya discipline. Na wachezaji wote walimpenda zahera na kumuogopa.. timu ilikuwa na umoja..

Timu ya leo imejaa majungu na upendeleo
 
Hivi kweli Yanga shida nini uongozi au kuna jambo lingine manake kama pesa kwasasa ipo shida nini.

Hivi viongozi wanajua shida tunayopata.mashabiki.ebu msolwa na wenzake watupishe kidogo.hivi msolwa atakuja kutuambia nini klabuni na kumuelewa.

Nimeumia sana leo.

Pole sana mtani, muache maneno mingi siku nyingine
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hivi kweli Yanga shida nini uongozi au kuna jambo lingine manake kama pesa kwasasa ipo shida nini.

Hivi viongozi wanajua shida tunayopata.mashabiki.ebu msolwa na wenzake watupishe kidogo.hivi msolwa atakuja kutuambia nini klabuni na kumuelewa.

Nimeumia sana leo.

Kumekucha! Timbwili hilooo!
 
Hivi kweli Yanga shida nini uongozi au kuna jambo lingine manake kama pesa kwasasa ipo shida nini.

Hivi viongozi wanajua shida tunayopata.mashabiki.ebu msolwa na wenzake watupishe kidogo.hivi msolwa atakuja kutuambia nini klabuni na kumuelewa.

Nimeumia sana leo.
Wenge la kufungwa ama? Yanga haina mtu anaetwa Msolwa!!
 
Msolwa hana tatizo, tatizo ni nyie mashabiki wa Yanga na msipoacha ujinga wenu Simba anaweza chukua tena ligi msimu ujao. Tatizo lenu mashabiki wa Yanga ni ujinga mliokwisha aminishwa na viongozi wenu hasahasa yule Zahera aliyetoka kuwa mara zote Simba anabebwa. Yanga hata afungwe na ndanda badala ya kocha au uongozi kueleza technically kwann wamefungwa na ndanda wao wanawajeuza oooh Simba anabebwa na nyie mmebakia na huo wimbo. Msisahau mmeimba huo wimbo mwaka wa tatu Sasa na Simba kachukua ligi mara ya tatu mfululizo, mwakani endeleeni na huo wimbo tuchukue mara ya nne tena. Ila naona na Azam nao wameanza kuwaiga Yanga na msemo huo. Unajua kunawakati unaweza sema Simba anabebwa lakini hebu jiulize hv timu inayotoa sare karbia kumi na point kwenye ligi inaweza kuchukua kombe kweli. Nihilo tu endeleeni na wimbo wenu mliofundishwa msimu ujao msipoona kombe tena lkienda msimbazi
 
Shabiki wa CHELSEA na YANGA, YANGA na ARSENAL jipige kifuani useme hili nalo litapita.
 
Timu yetu haiko vizuri sana! Viongozi kama wako siriaz msimu ujao walete wachezaji wa maana sio kina Yikpe na yule mtovu wa nidhamu!
Nyie Mashabiki wa Utopolo fc muwe mnaongea ka mna akili, msiwe ka viongozi wenu.
Yanga mnabajeti kiasi gani hata mchukue wachezaji wenye uwezo zaidi ya Yierpe.
Kuweni serious basi, hao wachezaji wa bei nafuu wanawadai mishahara, Ndo mnunue wachezaji wa gharama kubwa
 
Mleta Uzi kaleta kwa wana YANGA watoe yao sasa Simba kitu gani kinawaleta?[emoji32][emoji32]
 
Msolwa hana tatizo, tatizo ni nyie mashabiki wa Yanga na msipoacha ujinga wenu Simba anaweza chukua tena ligi msimu ujao. Tatizo lenu mashabiki wa Yanga ni ujinga mliokwisha aminishwa na viongozi wenu hasahasa yule Zahera aliyetoka kuwa mara zote Simba anabebwa. Yanga hata afungwe na ndanda badala ya kocha au uongozi kueleza technically kwann wamefungwa na ndanda wao wanawajeuza oooh Simba anabebwa na nyie mmebakia na huo wimbo. Msisahau mmeimba huo wimbo mwaka wa tatu Sasa na Simba kachukua ligi mara ya tatu mfululizo, mwakani endeleeni na huo wimbo tuchukue mara ya nne tena. Ila naona na Azam nao wameanza kuwaiga Yanga na msemo huo. Unajua kunawakati unaweza sema Simba anabebwa lakini hebu jiulize hv timu inayotoa sare karbia kumi na point kwenye ligi inaweza kuchukua kombe kweli. Nihilo tu endeleeni na wimbo wenu mliofundishwa msimu ujao msipoona kombe tena lkienda msimbazi
Kocha wao aliwaambia ukweli wamekimbilia hoja ya ubaguzi
 
Back
Top Bottom