technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Dunia ya nne huko kimbijiKumbe kesho mna mechi, mambo ya dunia ya 3 siyafuatilii sana. Tuko huku Dubai Vs Russia
Mnacheza na mafundi garage wa dubai halafu mnawaita warusi 😀😀😀😀😀Kumbe kesho mna mechi, mambo ya dunia ya 3 siyafuatilii sana. Tuko huku Dubai Vs Russia
Tusiendeshwe kwa hisia kiasi hicho. Kazi yoyote ni mapatano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Hakuleweshwa pombe, hakurukwa na akili na wala hakushikishwa bunduki kusaini mkataba wakati ameuona hauna maslahi kwake.Yanga wanashangaza sana
Wako radhi wawalipe wageni 20M ila feisal anayewafungia kila match wampe 3M..
Ndio uliyo isaini kwenye mkataba.Yanga wanashangaza sana
Wako radhi wawalipe wageni 20M ila feisal anayewafungia kila match wampe 3M
Binafsi natamani dogo apate team ya maana hata kama ni mkataba avunje awalipe
Mpira una umri asijezeeka na jina kubwa bila mali
Tusiendeshwe kwa hisia kiasi hicho. Kazi yoyote ni mapatano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Hakuleweshwa pombe, hakurukwa na akili na wala hakushikishwa bunduki kusaini mkataba wakati ameuona hauna maslahi kwake. Ni serikalini peke yake ndio wanaolipana mishahara kwa kufata rank. Ila kwa taasisi binafsi ni swala la mapatano. Ni kawaida kuona dereva X analipwa sh laki tano kwa mwezi wakati dereva Y analipwa laki nane tena pengine hata elimu kazidiwa na X. Sasa usiingiwe na wivu kisa mwenzio analipwa zaidi, kama huoni maslahi kwako usikubali kuingia kandarasi ya kuifanya kazi, tafuta pengine. Ni rahisi tu
Ndio uliyo isaini kwenye mkataba.
Yaah ila inabidi afuate utaratibu ndio mpira upo hivyo, Saidio Mane aliwaambia Liverpool wamuongezee mzigo, Liverpool wakagoma.Mane hakugomea mazoezi wala mechi ila aliwakatalia kusaini mkataba mpya sababu hawakutaka kumuongezea mzigo.Sawa sio kesi
Ila akipata pakueleweka aendee
aonyeshe kwanza kadi ya YangaKwani wewe nani??
Mnacheza na mafundi garage wa dubai halafu mnawaita warusi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Cha home hakinaga thamani!Yanga wanashangaza sana
Wako radhi wawalipe wageni 20M ila feisal anayewafungia kila match wampe 3M
Binafsi natamani dogo apate team ya maana hata kama ni mkataba avunje awalipe
Mpira una umri asijezeeka na jina kubwa bila mali
Kwa mfano wako huu, basi hata walimu waanze kulipwa mishahara na posho nono kama zile za wabunge.Yanga wanashangaza sana