Yanga bado ina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa ligi kuu 2019

Ralph Tyler

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
2,828
Reaction score
3,579
Yanga ana pointi 83, amebakisha mechi 2. Simba ana pointi 85 amebakisha mechi nne. Simba akifungwa mechi tatu akashinda moja atakuwa na pointi 88. Yanga akishinda mechi zake mbili zilizobaki atakuwa na pointi 89.
Twende kazi.
 
Tusubiri tuone
 
Hii ni ramli chonganishi kabisa, umetumia vigezo gani kuamini simba atapoteza michezo mitatu kati ya michezo yake minne iliyosalia na wakati huo huo Yanga atashinda michezo yake miwili iliyosalia?
 
Saa Nyingine Mjifunze Kuchagua Ndugu Zangu
Yaani Unaamini Yanga Hii Hii Itatwaa Ubingwa
Labda Iwapo Kuna Nyingine
 
Yanga ana pointi 83, amebakisha mechi 2. Simba ana pointi 85 amebakisha mechi nne. Simba akifungwa mechi tatu akashinda moja atakuwa na pointi 88. Yanga akishinda mechi zake mbili zilizobaki atakuwa na pointi 89.
Twende kazi.
Hujafikiria Simba akishinda mechi moja tu halafu akadroo 3 zilizobaki, halafu yanga anashinda zote nini kitatokea??
 
Yanga ana pointi 83, amebakisha mechi 2. Simba ana pointi 85 amebakisha mechi nne. Simba akifungwa mechi tatu akashinda moja atakuwa na pointi 88. Yanga akishinda mechi zake mbili zilizobaki atakuwa na pointi 89.
Twende kazi.
Simba akifungwa Mechi 2,
Akashinda Mechi 1,
Akasuluhu Mechi 1,
Bado Yanga habebi kitu.

Na Simba akisuluhu zote bado Yanga habebi kitu.

Kitu pekee ambacho Yanga anaweza kufanya ili kulipata lile Kombe ni kuliiba.
 
😂😂
 
Back
Top Bottom