Yanga bado ina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa ligi kuu 2019

Simba atafungwa mechi tatu. Atashinda mechi na Ndanda, nyingine zote atapigwa.
Ota ndoto ya mchana tu huku uko macho
Kama si akili ya mende pia unahitaji kuwa na akili ya vyura tu kukimbia mvua na kujitupa bwawani kuwa simba atapoteza mechi zote au atashinda mechi moja
Kumbuka kocha wenu keshamuuza makambo
 
Yanga ana pointi 83, amebakisha mechi 2. Simba ana pointi 85 amebakisha mechi nne. Simba akifungwa mechi tatu akashinda moja atakuwa na pointi 88. Yanga akishinda mechi zake mbili zilizobaki atakuwa na pointi 89.
Twende kazi.
Nasikia simba ile mechi iliyoongezwa dk saba wanaporwa point.
 
Alafu yanga anashinda zote, hapa lazima mvua za dar zimeleta mafuriko jangwani na kuondoka na akili za watu!
Uwezo wa Yanga kushinda zote kwa sasa haupo sababu Makambo wao hayupo. Basi tuseme Simba akifungwa zote na Yanga nae atafungwa zote
 
Yanga ana pointi 83, amebakisha mechi 2. Simba ana pointi 85 amebakisha mechi nne. Simba akifungwa mechi tatu akashinda moja atakuwa na pointi 88. Yanga akishinda mechi zake mbili zilizobaki atakuwa na pointi 89.
Twende kazi.
Yanga tembezeni bakuli mapema, msimu ujao msishuke daraja,
ame anza makambo kukimbia.......
 
Yanga ana pointi 83, amebakisha mechi 2. Simba ana pointi 85 amebakisha mechi nne. Simba akifungwa mechi tatu akashinda moja atakuwa na pointi 88. Yanga akishinda mechi zake mbili zilizobaki atakuwa na pointi 89.
Twende kazi.

Ni kama vile liverpool walivyokuwa wakiombea man city wafungwe

Kwa mpira wa kubitua wa ysnga nina hakika hashnd zote 2 zilizobaki
 
maneno ya kujipa moyo hayo, hata mfiwa hufarijiwa lakini marehemu hafufuki.
 
Yanga ana pointi 83, amebakisha mechi 2. Simba ana pointi 85 amebakisha mechi nne. Simba akifungwa mechi tatu akashinda moja atakuwa na pointi 88. Yanga akishinda mechi zake mbili zilizobaki atakuwa na pointi 89.
Twende kazi.
HATA NCCR MAGEUZI ITAISHINDA CCM NA SEREKALI YAKE KWENYE UCHAGUZI 2020 HATA KAMA MA DED WATAENDELEA KUWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI... tuendelee na ndoto za Alinacha[emoji23][emoji23]
 
Yanga ana pointi 83, amebakisha mechi 2. Simba ana pointi 85 amebakisha mechi nne. Simba akifungwa mechi tatu akashinda moja atakuwa na pointi 88. Yanga akishinda mechi zake mbili zilizobaki atakuwa na pointi 89.
Twende kazi.
Yanga kutwaa Ubingwa labda Wachezaji wa Yanga wacheze Uchi kwa maana bila kuvaa Jezi
 
Back
Top Bottom