Yanga bado ina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa ligi kuu 2019

Yanga bado ina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa ligi kuu 2019

Yanga ana pointi 83, amebakisha mechi 2. Simba ana pointi 85 amebakisha mechi nne. Simba akifungwa mechi tatu akashinda moja atakuwa na pointi 88. Yanga akishinda mechi zake mbili zilizobaki atakuwa na pointi 89.
Twende kazi.
Ukisikikaa mahabaa ndo hayo
 
Yanga ana pointi 83, amebakisha mechi 2. Simba ana pointi 85 amebakisha mechi nne. Simba akifungwa mechi tatu akashinda moja atakuwa na pointi 88. Yanga akishinda mechi zake mbili zilizobaki atakuwa na pointi 89.
Twende kazi.
Tumebakiza mechi tatu, update thread uje na uhalisia.
 
Ota ndoto ya mchana tu huku uko macho
Kama si akili ya mende pia unahitaji kuwa na akili ya vyura tu kukimbia mvua na kujitupa bwawani kuwa simba atapoteza mechi zote au atashinda mechi moja
Kumbuka kocha wenu keshamuuza makambo
Sawa, akili ya mende. Lakini unaona utabiri wangu unavyotimia? Nilisema watashinda dhidi ya Ndanda na imekuwa hivyo. Mengine niliyosema yatatokea. Simba atapoteza mechi zote tatu zilizobakia na Yanga atashinda mechi zake mbili zilizobakia.
 
Nilisema Simba atashinda mechi na Ndanda, nyingine atapigwa. Tayari ameshinda mechi na Ndanda jana. Zinazofuata ni kipigo tu.
Ukichoka kuota niambie na simba akishinda utafunga data na sijui utatumia freebasics lakini nakwambia habari utazipata labda na wewe dishi liwe limechenga kidogo.
 
Au sio
mwananchi_official-20190521-0001.jpg
 
Back
Top Bottom