Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Yanga ana pointi 83, amebakisha mechi 2. Simba ana pointi 85 amebakisha mechi nne. Simba akifungwa mechi tatu akashinda moja atakuwa na pointi 88. Yanga akishinda mechi zake mbili zilizobaki atakuwa na pointi 89.
Twende kazi.
Tusubiri tuoneYanga ana pointi 83, amebakisha mechi 2. Simba ana pointi 85 amebakisha mechi nne. Simba akifungwa mechi tatu akashinda moja atakuwa na pointi 88. Yanga akishinda mechi zake mbili zilizobaki atakuwa na pointi 89.
Twende kazi.
Simba atafungwa mechi tatu. Atashinda mechi na Ndanda, nyingine zote atapigwa.ni mwenye akili ya mende tu ndo ataamini mechi zote nne simba atafungwa
Hujafikiria Simba akishinda mechi moja tu halafu akadroo 3 zilizobaki, halafu yanga anashinda zote nini kitatokea??Yanga ana pointi 83, amebakisha mechi 2. Simba ana pointi 85 amebakisha mechi nne. Simba akifungwa mechi tatu akashinda moja atakuwa na pointi 88. Yanga akishinda mechi zake mbili zilizobaki atakuwa na pointi 89.
Twende kazi.
Simba akifungwa Mechi 2,Yanga ana pointi 83, amebakisha mechi 2. Simba ana pointi 85 amebakisha mechi nne. Simba akifungwa mechi tatu akashinda moja atakuwa na pointi 88. Yanga akishinda mechi zake mbili zilizobaki atakuwa na pointi 89.
Twende kazi.
ππni mwenye akili ya mende tu ndo ataamini mechi zote nne simba atafungwa
πππKila mtu ashinde mechi zake
πππHujafikiria Simba akishinda mechi moja tu halafu akadroo 3 zilizobaki, halafu yanga anashinda zote nini kitatokea??
πππHujafikiria Simba akishinda mechi moja tu halafu akadroo 3 zilizobaki, halafu yanga anashinda zote nini kitatokea??
ππSimba akifungwa Mechi 2,
Akashinda Mechi 1,
Akasuluhu Mechi 1,
Bado Yanga habebi kitu.
Na Simba akisuluhu zote bado Yanga habebi kitu.
Kitu pekee ambacho Yanga anaweza kufanya ili kulipata lile Kombe ni kuliiba.
ππππππSimba inahitaji point 4 tu.. yaani ashinde 1 + droo1=4
Kuiba kombe ndio mnatakiwa mfanye
Ukiamka nistue na mimi maana bado naota.Simba atafungwa mechi tatu. Atashinda mechi na Ndanda, nyingine zote atapigwa.