witacha matiku
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 722
- 237
Umafia waungwana!
Binafsi napata mashaka na wapinzani wa Yanga kama vile Fountain Gate, Dodoma n.k
Timu inacheza huoni kama inataka matokeo na kuna wakati wanajipigia pass fupi fupi karibu na lango Lao ambapo inakuwa rahisi kwa Yanga kuchukuwa mpira na kufunga.
Yanga bado inavuja sana game ya Fountain Gate agains wao was very soft game no pressure from opponent, poor passing & dribbling.
Hii mentality wasiende nayo Champion League hasa game ya MC Alger & Al HILAL though improvement ipo but from the NBC League no aggressive & offensive opponent faced btn the last four games.
Lakini Washindani wa Yanga kukamia game ya Simba ni kufanya Simba kuwa bora na imara zaidi but league yetu inakosa fairness & Taste.
CC
Bodi ya league