Yanga bado wana kitu cha kujifunza kimataifa kutoka kwa Simba, Mnachofanya wana Yanga ni sawa na Newcastle kukebehi Man U kufuzu UCL

Iyo timu iliyotoka shirikisho ina shiriki kombe gani msimu huu? Nyie mlicheza na vibonde hilo usipinge kufika fainalii sio hoja ya kujifunza kwa yanga hata machizi one time wanapataga akili
 
Pengine umeanza leo kufatilia mpira na kuifatilia Yanga, ngoja nikujuze.
Swala la Yanga kushinda ugenini sio kitu kipya kwasababu viongozi, na baadhi ya wachezaji wameshazoea pressure na atmosphere za ugenini.
Yanga imeshinda michezo mingi ugenini mpaka sasa

Kamfunga Tp Mazembe kwake kabisa
Kamfunga Club Africain kwake
Kamfunga Rivers united kwake
Kamfunga Marumo kwake
Kamfunga bingwa wa CAF super cup (USMA) kwake

Hivyo hata Al Merrikh wangekuwa Sudan, isingebadilisha ubora wa kikosi cha Yanga. Yanga anaingia katika haya mashindano akiwa na spirit kubwa sana juu ya kushinda popote pale jambo ambalo linaweza fanya timu zitakazopangiwa nazo kuchukua tahadhari. Club bingwa na shirikisho ni majina tu ya mashindano ila timu zinashahabiana ubora na viwango na ndio maana sio ajabu bingwa wa CAFCL kufungwa na bingwa wa CAFCC.
 
Weee chiziii, bingwa wa shirikisho anashiriki kombe gani msimu huu kama haya mashindano yanafanana uwezo wa timu , kama ana ubora huo angeonesha consistency
 
Unaposema usajili mzuri ni upi,? Ule wa mzungu wa reli kipa yule, kuwa serious kidogo, simba timu yetu usajili wake haukua technical, timu haichezi mpira wa kuvutia, wachezaji wengi waliosajiliwa wanaperform chini ya kuwango kilichotarajiwa
 
Wachezaji wapo tatizo kocha
 
ushabiki tu huu....ukweli ninaoujua yanga wanacheza mpira unaoonekana na simba wanacheza mpira wa maneno tu
 
Mna miaka 25 hamjavuka hiyo hatua lakini kelele mnazopiga na kama waliozoea kuingia kila mwaka
 
Iyo timu iliyotoka shirikisho ina shiriki kombe gani msimu huu? Nyie mlicheza na vibonde hilo usipinge kufika fainalii sio hoja ya kujifunza kwa yanga hata machizi one time wanapataga akili
Kibonde kamgonga al Ahly wew upimwe akili wew kweli umekubali wew ni chizi ngoja nisibishane na wew
 
Kibonde kamgonga al Ahly wew upimwe akili wew kweli umekubali wew ni chizi ngoja nisibishane na wew
Kibonde anapimwa kwa muendelezo wa safari yake, sasa uyo bingwa ayuko kokote kuonesha ubovu wake na ukibonde wake timu zisizo vibonde zina pata makombe na makombe na kufika hatua kubwa each season
 
Comments reserved
 
Acha ushamba USM Algier anacheza usku huu na Fus Rabat Cafcc. Ndugu zanguni mnabishana na Andazi hapa, Achaneni naye!
Kibonde anapimwa kwa muendelezo wa safari yake, sasa uyo bingwa ayuko kokote kuonesha ubovu wake na ukibonde wake timu zisizo vibonde zina pata makombe na makombe na kufika hatua kubwa each season
 
Huu sasa ni utani! Yaani Yanga iliyocheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita, ijifunze kwa timu ambayo ni tia maji tia maji!!

Yaani Yanga iliyoshinda mechi zake zote kwenye hatua ya mtoano, ijifunze kwa timu ambayo imeingia hatua ya makundi kwa faida ya goli la ugenini!! Tena kwenye mechi ya mwisho mchezaji wa timu pinzani amejifunga na hivyo kusababisha timu yake kupata sare ya 1-1!!
 
mchezo wa simba leo ukiuangalia, hakika, hawatafika mbali, wanatakiwa kujipanga sana. waondoe yule kipa pamoja na kosha na wawanoe vizuri wachezaji wao. mchezo wa yanga jana ulikuwa bora na unafurahisha kuangalia, ila leo waliofurahisha kuangalia ni power dynamo. kweli simba ndio imefikia kiwango cha kuwa timu ya kugomboa kweli?
 
Hakika
 
Mkuu unapoitaja NEWCASTLE itaje kwa adabu zote aseee tutakufungulia kesi ya upotoshaji bure
 
Weee chiziii, bingwa wa shirikisho anashiriki kombe gani msimu huu kama haya mashindano yanafanana uwezo wa timu , kama ana ubora huo angeonesha consistency

Mkuu matusi yamefuata nini hapa?
Swali lako la kwanza umeniuliza bingwa wa kombe la shirikisho anashiriki michuano gani; jibu lake ni kwamba anashiriki michuano hiyo hiyo ya shirikisho na leo anacheza mechi ya Marudiano dhidi ya Fus Rabat.

Consistency ya timu haihamui ubora wa mashindano kuwa ni magumu ama bora maana hata kwenye klabu bingwa kuna timu huwa zinashindwa ku maintain consistency mfano Kaizer chief alicheza mpaka fainali ya klabu bingwa lakini msimu uliofuata akabakia kwenye ligi ya kwao pekee.

Nilichokwambia timu zinazoshiriki klabu bingwa na zinazoshiriki shirikisho haziiposhani sana viwango. Sasa badala ya kunitukana ungekuja na hoja ya mbinu na ufundi kwanini Al Ahly amefungwa na USMA? Au kwanini Wydad alifungwa na Berkana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…