Yanga bado wana kitu cha kujifunza kimataifa kutoka kwa Simba, Mnachofanya wana Yanga ni sawa na Newcastle kukebehi Man U kufuzu UCL

kubali au kataa kwamba simba ndio chachu ya maendeleo ya timu zingine hap bongo na nje ya Tanzania ...kam haukubaliani na huu ukweli basi una shida sio bure
 
lakini tumewakanda game mbili consecutive
 
kubali au kataa kwamba simba ndio chachu ya maendeleo ya timu zingine hap bongo na nje ya Tanzania ...kam haukubaliani na huu ukweli basi una shida sio bure
Hilo mimi sipingani na wewe, ila swala la hoja ya mleta uzi kuwa Yanga imefuzu kwavile timu alizocheza nazo hazina makwao nakataa. Saa zingine tukubali ubora wa mwenzio hata kama roho inakuuma. Wakati misimu ya nyuma Simba yupo kwenye form ilofikia wakati wana Yanga tulikubali mziki wa Simba kwa soka analocheza na mafanikio anayoyapata ngazi ya kimataifa. Kwasasa mpira wa Simba umehamia Yanga, ila Simba wamekuwa wanasonga mbele kutokana na upepo wa bahati na michuano ya CAF ila kiuwezo imeshuka.
 
upepo wa bahati
hili limechafua maelezo yako mazuri ya mwanzo
 
Simba hii hii inayoitwa mbovu ndo imemtoa kamasi huko tanga kakesha nayo dk 90 hata goli la offside mwisho wa siku ikachukua kikombe kutoka kwa anayetamba mitaani ni bora
 
Timu zilizoingia makundi CAFCL hakuna tena timu za wakimbizi .Hivyo huo mtelemko mlioupata kucheza na timu ambazo ziko ukimbizini hamtaupata. Na nawahakikishieni kundi mtakalo pangwa mtamaliza mkiwa wa mwisho.
Nakazia.
 
hili limechafua maelezo yako mazuri ya mwanzo
Hayajachafua, maelezo yangu yamekaa katika nyakati mbili yaani uliopita na sasa. Uliopita ni Simba iliyokuwa inafuzu ni Simba iliyokuwa bora ila iliyosasa ni Simba inafuzu lakini haina ubora. Kwanzia mechi ya away kule Zambia hadi ya leo ni shabiki yupi wa Simba hanung'uniki juu ya performance ya timu? Hakuna mwana Simba anayeingiwa na wasiwasi juu ya huko waelekeapo? Tirudi msimu mmoja nyuma tena
Simba ilipangwa na timu za kawaida kwenye group stage kama vile Horoya, Vipers ila walipata tabu kufuzu robo fainali na pindi walipokutana na Raja iliyokamilika wakapigwa nje ndani. Sijui kama unakumbukumbu ni lini Simba ilidharirishwa kiasi kama kile tokea wapate mafanikio msimu wa 2019 lakini walisonga mbele kwa bahati.
 
yaani mkuu unapenda kusema neno bahati mpira ni mkakati na mifumo ya kocha na benchi zima ....em angalia msimu uliopita ilikuwaje kwa Al ahly kuvuka kutoka group stage kwenda robo all in all ni kwa sababu ina experience na Ccl the same na simba hivo maana sio maajabu sana kuingia group stage kwa sababu ishavuka hapo mkuu so itakuwa story kubwa endapo simba itaenda nusu fainali kwa ninyi msijilinganishe na sisi bali tafuteni faili la simba toka inapambana kuingia group stage
 
Hizo zilipendwa

Tushavuka makundi,hizo stori Baki nazo

Atakayevuka robo kati yetu ndo kidume
Simba wanamshukuru sana Kondwani Chiboni kwa kuwapatia bao la kusawazisha; walikuwa matatani sana. Hakuna mchezaji wa Simba aliyeipatia timu yake ushindi.
 
Timu zilizoingia makundi CAFCL hakuna tena timu za wakimbizi .Hivyo huo mtelemko mlioupata kucheza na timu ambazo ziko ukimbizini hamtaupata. Na nawahakikishieni kundi mtakalo pangwa mtamaliza mkiwa wa mwisho.
Mbona unahasira sana.
Mlilazimishwa kucheza pira papatu papatu?
Kwani yanga Rwanda alikuwa nyumbani!? Huyo msudan nae aengeshinda tu huko kwenye neutral ground.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…