technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kuna watu wanasema unbeaten ya kununua?
Toka mwaka 2019 mechi za simba za ligi tunazinunua ?
Mbona hawajashinda?
Simba kwanini mnapenda Sana propaganda yaani yanga kukwama tu game moja ya kimataifa mwaka huu ndio kelele zote hizi?
Hivi kwa mashabiki wa simba mlivyo na kelele Kama ndio timu yenu ungekuwa imechukua makombe 4 ndani ya mwaka mmoja tungelala kweli?
Yanga bado ni imara Sana na ndio timu Bora Tanzania kwa Sasa takwimu hazidanganyi!!
Nabi tunafukuza na tunamleta mbrazil wa Vipers taabu iko pale pale mtani.
Endeleeni kusindikiza champion ligue mkirudi sisi tunatangaza ubingwa tena wa ligi na FA
Mtakalia yanga anaunua mechi tu kujificha kwenye huo uongo Ila mkirudi tunapiga kwenye mshono tunachukua.
Tutachukua ubingwa huu mpaka 2030 ndio tutapumzika!!
Nyie nao wekezeni nje na mshindanie kombe la makundi kupanga ni kuchagua.