Yanga biashara wanaijua kama ilivyo mpira

Yanga biashara wanaijua kama ilivyo mpira

Baba Dayana

Senior Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
144
Reaction score
330
Ukiangalia Simba day na Yanga day Kwa umakini sana.

Utagundua Yanga day watu wengi sana walivaa Jezi mpya kuliko Simba day, hii inamanisha Yanga Msimu huu wamepiga Vibaya mnoo kwenye Soko la Mauzo ya Jezi, (biashara ya jezi ime booom) faida kubwa

Bila Unafiki tunatakiwa kuwapa pongezi Sheria ngowi, waswahili wanasema Kizuri chajiuza.
 

Attachments

  • 20240807_080146.jpg
    20240807_080146.jpg
    93.4 KB · Views: 4
Acha utani ww hela anapata gsm sio yanga yanga msimu mzima jezi wanapata tsh 45M tuu wakati simba ana mkataba wa 2B 😅😅😅
 
Back
Top Bottom