YANGA Bingwa: Fainali ya kombe la Shirikisho Tanzania, 25.05.2016

YANGA Bingwa: Fainali ya kombe la Shirikisho Tanzania, 25.05.2016

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,089
***MPIRA UMEKWISHA NA YANGA WANATAWAZWA KUWA MABINGWA***



DAKIKA 3 ZINAONGEZWA NA KAMISAA YA MCHEZO

87' Nadir Haroub 'Cannavaro' anaingia kuchukua nafasi ya Vicent Bussou
84' Faridi Mussa anatoka na Idd anaingia katika kikosi cha Azam Fc
81' Deus Kaseke anaiandikia goli la 3 Yanga sasa Yanga 3 Azam Fc 1
73' Kipa wa Azama anaokoa kichwa cha Hamis Tambwe
70' Juma Abdul anakosa gola la wazi kabisa baada ya kutengewa na Donald Ngoma
66' Haruna Niyonzima anatoka na Mbuyu Twite anaingia
65' Jean mugiraneza anapata kadi ya njano
63' Frank Domayo anaingia kuchukua nafasi
48' Azam Fc wanapata goli la kwanza kupitia kwa Didier Kavumbagu sasa Yanga 2 na Azam Fc 1
47' Hamis Tambwe anaindikia Yanga goli la pili. Sasa Yanga 2 na Azam Fc sifuri
45' Azam Fc wanaanzisha mpira na wameuingiza Didier Kavumbagu na wamemtoa John Boko

MPIRA NI MAPUMZIKO MATOKEO NI YANGA 1 AZAM FC 0

00' Refa anapuliza kipenga kuashiria mwanzo wa mchezo
09' Yanga inaandika goli la kwanza kupitia kwa Hamis Tambwe, Yanga 1-0 Azam
12' Azam wanajaribu kufika golini kwa Yanga lakini unakua mpira mwepesi kwa Dida
14' Azam wanashindwa kuhitimisha goli baada ya kucheza gonga kwenye lango la Yanga
29' Azam FC wanakosa goli la wazi
35' Yanga wanapata kona pacha lakini wanashindwa kuandika magoli
40' Juma Abdul anafanyiwa madhambi na Agrey Morris na Morris anapewa kadi ya manjano
42' Ramadhan Singano Messi anapewa kadi ya njano kwa kumfanyia madambi Kelvin Yondani.

===========
FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO || ASFC -2015/2016.

Azam FC Vs Young Africans SC.
Uwanja - Taifa (Dar es Salaam)
Muda :- Saa 10 : 00 Alasiri.


KIKOSI CHA YANGA
1. Deogratius Bonaventura Munishi "Dida"
2. Juma Abdul Mnyamani.
3. Oscar Fanuel Joshua.
4. Kelvin Patrick Yondani "Cotton"
5. Vicent Bossou.
6. Thaban Michael Kamusoko
7. Saimon Happygod Msuva
8. Haruna Fadhil Niyonzima.
9. Donald Dombo Ngoma
10.Amiss Jocelyn Tambwe
11. Deus David Kaseke
Akiba.
----------
1. Ally Mustafa Mtinge "Barthez"
2. Haji Mwinyi Mngwali.
3. Salum abdul Telela
4. Nadir Ally Haroub "Canavaro"
5. Matheo Saimon Anthony.
6. Mbuyu Twite Junior
7. Geofrey Furaha Mwashiuya.
KILA LA HERI YANGA AFRIKA.
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.

KIKOSI CHA AZAM FC
1.Aishi Manula-28
2.Erasto Nyoni-6
3.Gadiel Michael-2
4.Agrey Morris-13
5.Abdallah Kheri-25
6.Jean Mugiraneza-16
7.Himid Mao-23
8.Mudathir Yahya-20
9.John Bocco-19(c)
10.Ramadhan Singn-14
11.Farid Mussa-17
Sub
1.Mwadini Ali-1
2.Said Morad-15
3.Frank Domayo-18
4.Bolou Wilfred -29
5.Didier Kavumbagu-11
6.Ame Ali-24
7.Shaaban Idd-43


mkolaj, Makoye Matale, Bantu lady, Katavi, Nifah Ulimakafu, Wonderful na wadau wengine tutakuwa hapa kukuletea yote yatakayojiri kutoka ndani ya Uwanja wa Taifa.
 
Leo Fareed Musa atabeba kombe lake la mwisho akiwa na Azam FC.
Tutamuaga kwa heshima zote.
Come on Azam.Let's do this
 
Kila la heri Azam FC...timu bora bidhaa bora.
SSC_Wanga.png


Haya mzee endeleeni kuwa mazuzu!!!!!
 
Leo ndoo yetu tena hii, ni bora Azam wasiende uwanjani leo.
Breaking news:YANGA YASHUSHA MASHINE MBILI MPYA ZA KIMATAIFA.
Janvier Basela Bokungu:ambaye ana uwezo wa kucheza beki wa kulia, beki wa kati na Kiungo mkabaji.
Mussa Ndusha :anamudu kucheza winga zote mbili, kiungo wa juu na pia ana uwezo mkubwa wa kucheza kama mshambuliaji wa mwisho.
 
Leo ndoo yetu tena hii, ni bora Azam wasiende uwanjani leo.
Breaking news:YANGA YASHUSHA MASHINE MBILI MPYA ZA KIMATAIFA.
Janvier Basela Bokungu:ambaye ana uwezo wa kucheza beki wa kulia, beki wa kati na Kiungo mkabaji.
Mussa Ndusha :anamudu kucheza winga zote mbili, kiungo wa juu na pia ana uwezo mkubwa wa kucheza kama mshambuliaji wa mwisho.
Mkuu pole pole, punguza makonde utawaua kwa presha.
 
Azam FC, tutulizieni jiji.. Nawatakia ushindi mnono.
Mtani bado tu hujatukubali?pana magonjwa mengine unaweza kuyaepuka najua unaweza kuwa bora zaidi ya hiki ulichoandika kaa utulie kisha fanya tafakuri khalafu chukua hatua.
 
Weka na kikosi cha Azam ndugu
Azam dhidi ya Yanga leo
1.Aishi Manula-28
2.Erasto Nyoni-6
3.Gadiel Michael-2
4.Agrey Morris-13
5.Abdallah Kheri-25
6.Jean Mugiraneza-16
7.Himid Mao-23
8.Mudathir Yahya-20
9.John Bocco-19(c)
10.Ramadhan Singn-14
11.Farid Mussa-17
Sub
1.Mwadini Ali-1
2.Said Morad-15
3.Frank Domayo-18
4.Bolou Wilfred -29
5.Didier Kavumbagu-11
6.Ame Ali-24
7.Shaaban Idd-43
 
Leo ndoo yetu tena hii, ni bora Azam wasiende uwanjani leo.
Breaking news:YANGA YASHUSHA MASHINE MBILI MPYA ZA KIMATAIFA.
Janvier Basela Bokungu:ambaye ana uwezo wa kucheza beki wa kulia, beki wa kati na Kiungo mkabaji.
Mussa Ndusha :anamudu kucheza winga zote mbili, kiungo wa juu na pia ana uwezo mkubwa wa kucheza kama mshambuliaji wa mwisho.
Hapo kwenye kiungo mkabaji ndipo palikuwa na tatizo, aje mtu wa kazi kweli wazidi kuisoma namba wale Vyura fc
 
Azam dhidi ya Yanga leo
1.Aishi Manula-28
2.Erasto Nyoni-6
3.Gadiel Michael-2
4.Agrey Morris-13
5.Abdallah Kheri-25
6.Jean Mugiraneza-16
7.Himid Mao-23
8.Mudathir Yahya-20
9.John Bocco-19(c)
10.Ramadhan Singn-14
11.Farid Mussa-17
Sub
1.Mwadini Ali-1
2.Said Morad-15
3.Frank Domayo-18
4.Bolou Wilfred -29
5.Didier Kavumbagu-11
6.Ame Ali-24
7.Shaaban Idd-43
Hawa hawachomiki!!!!!!!!
 
Uliwatakia kila la kheir wale Wacomoro tukawakalisha, Wakaja APR nao tukawachapa, Wakaja Waangola wakala mbili za moto, sasa tunawasubiri Mazembe tuwanyoshe.
Yanga Daima mbele Nyuma mwiko.
endelea kukariri mtani
 
Back
Top Bottom