YANGA Bingwa: Fainali ya kombe la Shirikisho Tanzania, 25.05.2016

YANGA Bingwa: Fainali ya kombe la Shirikisho Tanzania, 25.05.2016

IMG_20160525_160855.jpg
IMG_20160525_160858.jpg
Kessy huyu hapa kwenye jukwaa la Yanga na mashabiki.
 
Salama Mkuu.. Hongera kwa Ubingwa wa VPL na kwa kufuzu hatua ya Makundi katika kombe la waliofeli katika CAF Champions League... Ila pole kwa kipigo kizito mtakachopata leo toka kwa Vijana wetu wa Azam FC.
Hehehe eti kipigo kizito.
 
Leo ndoo yetu tena hii, ni bora Azam wasiende uwanjani leo.
Breaking news:YANGA YASHUSHA MASHINE MBILI MPYA ZA KIMATAIFA.
Janvier Basela Bokungu:ambaye ana uwezo wa kucheza beki wa kulia, beki wa kati na Kiungo mkabaji.
Mussa Ndusha :anamudu kucheza winga zote mbili, kiungo wa juu na pia ana uwezo mkubwa wa kucheza kama mshambuliaji wa mwisho.
Mnapigwa leo
 
Back
Top Bottom