Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Ndio limeanza mida hiyoNasikia game itaanza saa 10. 30
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio limeanza mida hiyoNasikia game itaanza saa 10. 30
Kwa hiyo yanga watapigwa???Kamusoko ana miaka 40
Mudathir 21
Kalale wewe Katavi.Mnapigwa leo
Hehehe ashakufa huyo, Mudathir ndio kashangaa huku Tambwe anapita kufunga.Kwa hiyo yanga watapigwa???
Mkuu upo.!Kalale wewe Katavi.
Sipendi ushabiki wa aina hii...unasifia mchezaji ukiombwa cv yake unabaki kugwaya...hii stahili ndo iliyomfanya sembo akakimbia takriban miezi mitatu...uletaji wa watalii sijui utaisha liniLeo ndoo yetu tena hii, ni bora Azam wasiende uwanjani leo.
Breaking news:YANGA YASHUSHA MASHINE MBILI MPYA ZA KIMATAIFA.
Janvier Basela Bokungu:ambaye ana uwezo wa kucheza beki wa kulia, beki wa kati na Kiungo mkabaji.
Mussa Ndusha :anamudu kucheza winga zote mbili, kiungo wa juu na pia ana uwezo mkubwa wa kucheza kama mshambuliaji wa mwisho.
Huwa naumia sana nikimuona Frank Domayo 'Chumvi' benchi...Azam dhidi ya Yanga leo
1.Aishi Manula-28
2.Erasto Nyoni-6
3.Gadiel Michael-2
4.Agrey Morris-13
5.Abdallah Kheri-25
6.Jean Mugiraneza-16
7.Himid Mao-23
8.Mudathir Yahya-20
9.John Bocco-19(c)
10.Ramadhan Singn-14
11.Farid Mussa-17
Sub
1.Mwadini Ali-1
2.Said Morad-15
3.Frank Domayo-18
4.Bolou Wilfred -29
5.Didier Kavumbagu-11
6.Ame Ali-24
7.Shaaban Idd-43
Nipo kaka...niaje jirani.Mkuu upo.!
Huyu kijana huko alienda kupoteza kipaji chake. Hivi hata taifa stars kaitwa??Huwa naumia sana nikimuona Frank Domayo 'Chumvi' benchi...
Domayo wa Yanga sio huyu wa Azam...So sad