Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaahaah vipi shemeji. Dada Leo atakuwa Na furaha sana.!
Hiyo "K" utakuwa unamaanisha Keki...!Mweeeeeeee, mpira wa leo ni mtamu kuliko ata "K" kwa kweli lol.. 😛😛😛
Siku zote ukishabikia yanga we utakuwa mtu wa furahaHa
Ahahaahaah vipi shemeji. Dada Leo atakuwa Na furaha sana.!
Acha bana, K habari nyingine ujue..Mweeeeeeee, mpira wa leo ni mtamu kuliko ata "K" kwa kweli lol.. 😛😛😛
Du yanga ataiwakilisha nchi kwa kila mashindano ya kimataifa[emoji12]Yanga 1 - 0 Azam
Tambwe 9'
Nipo mtani.!haahaahaaa
.. mtani upo....!??
Mpira bado mtani.!Du yanga ataiwakilisha nchi kwa kila mashindano ya kimataifa[emoji12]
Anaishusha hadhi.!Acha bana, K habari nyingine ujue..
Azam wenyewe ndio walitaka, Yanga wakawambia wapige hii game weekend wao wakahonga maofisa wa TFF ili game ichezwe leo, so acha tu waisome namba sasa maana hakuna namna kwa kweli.... . 🙂🙂🙂mechi hii ingepigwa wikiendi
Unatarajia matokeo mbadala?Mpira bado mtani.!
Azam wanasawazisha Na ndio mabingwa wa hili Kombe........mark my words.!Azam wenyewe ndio walitaka, Yanga wakawambia wapige hii game weekend wao wakahonga maofisa wa TFF ili game ichezwe leo, so acha tu waisome namba sasa maana hakuna namna kwa kweli.... . 🙂🙂🙂
Ndio hivyoUnatarajia matokeo mbadala?
Una uhakika dau la yanga liliwazidi dau la azam?Pesa kinaendana Na kipaji pia. Tunazungumzia kesi ya Domayo, nakumbuka yanga walivyombembeleza Na dau wakapanda lakini akaondoka.!
Kipindi cha pili nyingi wanapigwaHahahaah wadogo zetu.!
Wachezaji wengi wakiondoka yanga kwa nyodo uwa wanazimika jumla namkumbuka Said Suweid Scud aliifunga simba mechi zote mbili za ligi akaanza ufaza watu wakamkata na umaarufu ukaishia hapo.Pesa kinaendana Na kipaji pia. Tunazungumzia kesi ya Domayo, nakumbuka yanga walivyombembeleza Na dau wakapanda lakini akaondoka.!
Azam wanasawazisha Na ndio mabingwa wa hili Kombe........mark my words.!
NDIYO MZEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Azam wanasawazisha Na ndio mabingwa wa hili Kombe........mark my words.!