YANGA Bingwa: Fainali ya kombe la Shirikisho Tanzania, 25.05.2016

Mweeeeeeee, mpira wa leo ni mtamu kuliko ata "K" kwa kweli lol.. 😛😛😛
 
mechi hii ingepigwa wikiendi
Azam wenyewe ndio walitaka, Yanga wakawambia wapige hii game weekend wao wakahonga maofisa wa TFF ili game ichezwe leo, so acha tu waisome namba sasa maana hakuna namna kwa kweli.... . 🙂🙂🙂
 
Azam wanasawazisha Na ndio mabingwa wa hili Kombe........mark my words.!
 
Pesa kinaendana Na kipaji pia. Tunazungumzia kesi ya Domayo, nakumbuka yanga walivyombembeleza Na dau wakapanda lakini akaondoka.!
Una uhakika dau la yanga liliwazidi dau la azam?
 
Pesa kinaendana Na kipaji pia. Tunazungumzia kesi ya Domayo, nakumbuka yanga walivyombembeleza Na dau wakapanda lakini akaondoka.!
Wachezaji wengi wakiondoka yanga kwa nyodo uwa wanazimika jumla namkumbuka Said Suweid Scud aliifunga simba mechi zote mbili za ligi akaanza ufaza watu wakamkata na umaarufu ukaishia hapo.
 
Back
Top Bottom