YANGA Bingwa: Fainali ya kombe la Shirikisho Tanzania, 25.05.2016

YANGA Bingwa: Fainali ya kombe la Shirikisho Tanzania, 25.05.2016

huyu tambwe sasa achunguzwe
Sio siri kazidisha sifa sasa utadhani Mcharoo tunaumizana roho jamaaaa....

Tutapoteza salamu toka kwa marafiki zetu akikuona unakuja tu anatafuta chochoro.

Viongozi wao wanakuja na hoja nyepesi eti wamekosa ubingwa sababu Hajibu, Kiiza na Kessy wamehujumu timu nao wameridhika kabisa.
 
Back
Top Bottom