Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Ha ha ha haaah kumbe.Sio hadithi mtani mioyo yetu inabeba mambo mengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha haaah kumbe.Sio hadithi mtani mioyo yetu inabeba mambo mengi.
Waungwana kwa heshma na taadhima tumkaribishe ndugu yetu mpendwa mr Katavi kaigundua furaha ya kweli na kuamua kwa hiari yake bila shinikizo lolote kuwa mshahiki wa yanga naomba tutumie nafasi hii kumkaribisha.Pia kumpongeza kwa maamuzi sahihi aliyofanya.Msimu ujao nitakuwa jangwani lakini kwa kule kwingine nakomaa na Wenger.
Katavi ni Simba siku zote, kabla ya kujiunga Yanga afanyiwe upekenyuzi wa kutosha asije akaingia kwetu na kusababisha migogoro kila siku kama ilivyo kwenye klabu yake.Waungwana kwa heshma na taadhima tumkaribishe ndugu yetu mpendwa mr Katavi kaigundua furaha ya kweli na kuamua kwa hiari yake bila shinikizo lolote kuwa mshahiki wa yanga naomba tutumie nafasi hii kumkaribisha.Pia kumpongeza kwa maamuzi sahihi aliyofanya.
Duh!Makoye hii kazi ya upembuzi yakinifu kuhusu Katavi inabidi uongoze hilo jopo ila mimi nina imani nae watu gani wanahimili mambo yao yanavyokwenda mrama?Katavi ni Simba siku zote, kabla ya kujiunga Yanga afanyiwe upekenyuzi wa kutosha asije akaingia kwetu na kusababisha migogoro kila siku kama ilivyo kwenye klabu yake.