YANGA Bingwa: Fainali ya kombe la Shirikisho Tanzania, 25.05.2016

Msimu ujao nitakuwa jangwani lakini kwa kule kwingine nakomaa na Wenger.
Waungwana kwa heshma na taadhima tumkaribishe ndugu yetu mpendwa mr Katavi kaigundua furaha ya kweli na kuamua kwa hiari yake bila shinikizo lolote kuwa mshahiki wa yanga naomba tutumie nafasi hii kumkaribisha.Pia kumpongeza kwa maamuzi sahihi aliyofanya.
 
Katavi ni Simba siku zote, kabla ya kujiunga Yanga afanyiwe upekenyuzi wa kutosha asije akaingia kwetu na kusababisha migogoro kila siku kama ilivyo kwenye klabu yake.
 
Duh!Makoye hii kazi ya upembuzi yakinifu kuhusu Katavi inabidi uongoze hilo jopo ila mimi nina imani nae watu gani wanahimili mambo yao yanavyokwenda mrama?
 
Back
Top Bottom