Yanga,bingwa ni mmoja tu Simba sports club,nyie mabingwa wa nini?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Nimekuwa nashangazwa na Yanga kuendelea kujiita Mabingwa wakati wakijua wazi huu ni mwaka wa pili Mabingwa ni Simba.

Sasa hivi ukisoma taarifa zao za usajili utaona wameandika mchezaji fulani kajiunga na Mabingwa Yanga,najiuliza Yanga ni Mabingwa wa nini?

Acheni kujitwika Ubingwa ambao hamna Bingwa wa Nchi hii ni mmoja tu ambaye ni SIMBA SPORTS CLUB,hakuna Bingwa mwingine huo ni Uhaini ktk Soka.
 
Ni mabingwa wa kihistoria. Wana haki ya kijiita hivyo ila siyo kujiita bingwa.
 
Nimekuwa nashangazwa na Yanga kuendelea kujiita Mabingwa wakati wakijua wazi huu ni mwaka wa pili Mabingwa ni SIMBA.Sasa hivi ukisoma taarifa zao za usajili utaona wameandika mchezaji fulani kajiunga na Mabingwa Yanga,najiuliza Yanga ni Mabingwa wa nini? Acheni kujitwika Ubingwa ambao hamna Bingwa wa Nchi hii ni mmoja tu ambaye ni SIMBA SPORTS CLUB,hakuna Bingwa mwingine huo ni Uhaini ktk Soka.

Yaani nyie Simba mnavyotamba kwa miaka hii miwili utadhani mtakuwa mabingwa milele...kumbukeni ipo siku mtafungwa na Yanga na ikiwezekana kwa Yanga kuwa bingwa tena...Na safari hii kwa Yanga haitachukua muda mrefu...Hapo ndipo mtakapojua nguvu ya Yanga ikoje kwa idadi ya watu, wapenzi na wanachama wake...Upo wakati nilishuhudia Yanga ikiifunga Simba goli 1-0 baada ya kuburuzwa kwa karibu miaka mitano..hiyo ilikuwa ni mwaka 1981 kwa goli la Juma Mkambi kufuatia kona ya Amasha..Ilikuwa ni tukio la aina yake kwani miaka mitano mizima Yanga ilikuwa ikifungwa na Simba...safari hakuna cha miaka mitano....
 
Hawa ni mabingwa kwenye kombe la ombaomba!
 
Ubingwa wao huu
IMG-20190530-WA0000.jpeg
 
Yaani nyie Simba mnavyotamba kwa miaka hii miwili utadhani mtakuwa mabingwa milele...kumbukeni ipo siku mtafungwa na Yanga na ikiwezekana kwa Yanga kuwa bingwa tena...Na safari hii kwa Yanga haitachukua muda mrefu...Hapo ndipo mtakapojua nguvu ya Yanga ikoje kwa idadi ya watu, wapenzi na wanachama wake...Upo wakati nilishuhudia Yanga ikiifunga Simba goli 1-0 baada ya kuburuzwa kwa karibu miaka mitano..hiyo ilikuwa ni mwaka 1981 kwa goli la Juma Mkambi kufuatia kona ya Amasha..Ilikuwa ni tukio la aina yake kwani miaka mitano mizima Yanga ilikuwa ikifungwa na Simba...safari hakuna cha miaka mitano....
Kwani ubingwa wa kihistoria unawakilisha Mashindani gani? kama ni historia zungumzia na kufungwa Bao 6-0 mwaka 1975 sijui ulikuwa upo duniani au la
 
Mikia kupata ubingwa wa kununua utadhani kipofu kaona mwezi! Matokeo ya ubingwa wa muamala kimataifa wanakula 5 kila wakitoka nje!
 
Yaani nyie Simba mnavyotamba kwa miaka hii miwili utadhani mtakuwa mabingwa milele...kumbukeni ipo siku mtafungwa na Yanga na ikiwezekana kwa Yanga kuwa bingwa tena...Na safari hii kwa Yanga haitachukua muda mrefu...Hapo ndipo mtakapojua nguvu ya Yanga ikoje kwa idadi ya watu, wapenzi na wanachama wake...Upo wakati nilishuhudia Yanga ikiifunga Simba goli 1-0 baada ya kuburuzwa kwa karibu miaka mitano..hiyo ilikuwa ni mwaka 1981 kwa goli la Juma Mkambi kufuatia kona ya Amasha..Ilikuwa ni tukio la aina yake kwani miaka mitano mizima Yanga ilikuwa ikifungwa na Simba...safari hakuna cha miaka mitano....
Kwani ubingwa wa kihistoria unawakilisha Mashindani gani? kama ni historia zungumzia na kufungwa Bao 6-0 mwaka 1975 sijui ulikuwa upo duniani au la
 
Kwani ubingwa wa kihistoria unawakilisha Mashindani gani? kama ni historia zungumzia na kufungwa Bao 6-0 mwaka 1975 sijui ulikuwa upo duniani au la

Ubingwa wa kihistoria bado upo pale pale...ndiyo maana ya historia...Kwa upande mwingine sikumbuki kama Yanga iliwahi kufungwa na Simba 6-0 mwaka 1975...Weka kumbukumbu zako vizuri...inaelekea hujui historia ya klabu hizi mbili...nadhani wewe ni kijana wa kizazi kipya na ambacho wengi wao hufanya mambo kwa pupa..
 
Yaani wasipojiita mabingwa ni kama wanabadilika jinsia. Bingwa ni mmoja tu
 
Nimekuwa nashangazwa na Yanga kuendelea kujiita Mabingwa wakati wakijua wazi huu ni mwaka wa pili Mabingwa ni SIMBA.Sasa hivi ukisoma taarifa zao za usajili utaona wameandika mchezaji fulani kajiunga na Mabingwa Yanga,najiuliza Yanga ni Mabingwa wa nini? Acheni kujitwika Ubingwa ambao hamna Bingwa wa Nchi hii ni mmoja tu ambaye ni SIMBA SPORTS CLUB,hakuna Bingwa mwingine huo ni Uhaini ktk Soka.
Ni mabingwa wa kushindwa
 
Wewe kinachokuumiza ni nini Yanga wakijiita mabingwa? Kinanachokuhangaisha ni nini hapo? Sindano haikuhusu acha wajiite mabingwa,kama inakuhusu tulia ikuingie na ikuume. Anza leo na wewe kujiita mabingwa uone kama kuna mtu atahangaika na wewe
 
Nimekuwa nashangazwa na Yanga kuendelea kujiita Mabingwa wakati wakijua wazi huu ni mwaka wa pili Mabingwa ni SIMBA.Sasa hivi ukisoma taarifa zao za usajili utaona wameandika mchezaji fulani kajiunga na Mabingwa Yanga,najiuliza Yanga ni Mabingwa wa nini? Acheni kujitwika Ubingwa ambao hamna Bingwa wa Nchi hii ni mmoja tu ambaye ni SIMBA SPORTS CLUB,hakuna Bingwa mwingine huo ni Uhaini ktk Soka.
Ubingwa wenyewe wa Simba ni wa viti maalumu"
 
Ubingwa wa kihistoria bado upo pale pale...ndiyo maana ya historia...Kwa upande mwingine sikumbuki kama Yanga iliwahi kufungwa na Simba 6-0 mwaka 1975...Weka kumbukumbu zako vizuri...inaelekea hujui historia ya klabu hizi mbili...nadhani wewe ni kijana wa kizazi kipya na ambacho wengi wao hufanya mambo kwa pupa..
Mkuu nenda makuu makuu ya Yanga utaikuta hiyo Mechi ya bao 6-0 sasa napata picha kuwa umeipenda Yanga hivi karibuni ni mbumbumbu wa Historia ya Simba na Yanga.
 
Back
Top Bottom