mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Nimekuwa nashangazwa na Yanga kuendelea kujiita Mabingwa wakati wakijua wazi huu ni mwaka wa pili Mabingwa ni Simba.
Sasa hivi ukisoma taarifa zao za usajili utaona wameandika mchezaji fulani kajiunga na Mabingwa Yanga,najiuliza Yanga ni Mabingwa wa nini?
Acheni kujitwika Ubingwa ambao hamna Bingwa wa Nchi hii ni mmoja tu ambaye ni SIMBA SPORTS CLUB,hakuna Bingwa mwingine huo ni Uhaini ktk Soka.