Yanga,bingwa ni mmoja tu Simba sports club,nyie mabingwa wa nini?

Mkuu nenda makuu makuu ya Yanga utaikuta hiyo Mechi ya bao 6-0 sasa napata picha kuwa umeipenda Yanga hivi karibuni ni mbumbumbu wa Historia ya Simba na Yanga.

Ndiyo maana niliandika kuwa wengi wa vijana wa kizazi kipya hukurupuka....hoja yangu ilikuwa 'sikumbuki kamaYanga ilifungwa 6-0 na Simba mwaka 1975....' Sasa baadala ya kuichambua hoja yangu na kujisahihisha bado unarudia kosa lile lile...pole sana wewe ambaye siyo mbumbumbu...hongera kwa kujaliwa kuwa na kumbukumbu sahihi....
 
Wewe ni mgeni sana ktk soka la tanzania,nina amini mpira wa simba na yanga umeujua miaka ya 1990 mpaka 2019,ushahidi ni kutokujua kuwa Simba iliifunga Yanga 6-0,acha ubishi wakati hilo dogo tu hulijui
 
Ubingwa wa kihistoria bado upo pale pale...ndiyo maana ya historia...Kwa upande mwingine sikumbuki kama Yanga iliwahi kufungwa na Simba 6-0 mwaka 1975...Weka kumbukumbu zako vizuri...inaelekea hujui historia ya klabu hizi mbili...nadhani wewe ni kijana wa kizazi kipya na ambacho wengi wao hufanya mambo kwa pupa..
Yanga ilipigwa 6 - 0 mwaka 1977, Kibadeni akifunga hat trick, Yanga haijajibu kipigo hicho, sana sana mwaka 1994 mkapigwa 4 -1 na 2012 mkapigwa 5 - 0. Kuanzia mwaka 2016 enzi za Manji Yanga haijaifunga Simba, ushindi kwa Yanga ni sare au unabisha?
 
Wewe ni mgeni sana ktk soka la tanzania,nina amini mpira wa simba na yanga umeujua miaka ya 1990 mpaka 2019,ushahidi ni kutokujua kuwa Simba iliifunga Yanga 6-0,acha ubishi wakati hilo dogo tu hulijui

Dah...sawa inawezekana mimi nimeujua mpira kuanzia mwaka 1990 na wewe unayesema Yanga ilifungwa na Simba 6-0 mwaka 1975 bila shaka uliifahamu soka mwaka huo wa 1975...inaelekea una kumbukumbu nzuri kwamba Yanga ilifungwa na Simba 6-0 mwaka 1975...hongera mtunza kumbukumbu nzuri...
 
Mwenzio humu ndani amesema kuwa Yanga ilifungwa na Simba 6-0 mwaka 1975 na sisi wengine tulipo
Yanga ilipigwa 6 - 0 mwaka 1977, Kibadeni akifunga hat trick, Yanga haijajibu kipigo hicho, sana sana mwaka 1994 mkapigwa 4 -1 na 2012 mkapigwa 5 - 0. Kuanzia mwaka 2016 enzi za Manji Yanga haijaifunga Simba, ushindi kwa Yanga ni sare au unabisha?

Mwenzio mmoja humu ameandika humu, tena kwa kujiamini, kuwa Yanga ilifungwa na Simba 6-0 mwaka 1975...sisi wengine tulipohoji ametuita kuwa sisi ni mbumbumbu na kwamba tumeifahamu soka kuanzia mwaka 1990...Nakubaliana na wewe kwa takwimu zako za kihistoria...Lakini nami nina kumbukumbu za kihistoria za Simba kuwahi kukung'utwa na Yanga 5-0...halafu upo mwaka nilikuwepo uwanjani pale uwanja wa taifa sasa uhuru, simba akakimbia kipindi cha pili kuingia uwanjani kwa hofu ya kukung'utwa...Tukawasubiri Simba wajitokeze wapi, wakaingia mitini....
 
Mwenzio humu ndani amesema kuwa Yanga ilifungwa na Simba 6-0 mwaka 1975 na sisi wengine tulipo

Mwenzio mmoja humu ameandika humu, tena kwa kujiamini, kuwa Yanga ilifungwa na Simba 6-0 mwaka 1975...sisi wengine tulipohoji ametuita kuwa sisi ni mbumbumbu na kwamba tumeifahamu soka kuanzia mwaka 1990...Nakubaliana na wewe kwa takwimu zako za kihistoria...Lakini nami nina kumbukumbu za kihistoria za Simba kuwahi kukung'utwa na Yanga 5-0...halafu upo mwaka nilikuwepo uwanjani pale uwanja wa taifa sasa uhuru, simba akakimbia kipindi cha pili kuingia uwanjani kwa hofu ya kukung'utwa...Tukawasubiri Simba wajitokeze wapi, wakaingia mitini....
Simba kupigwa kipigo heavy na Yanga ni mwaka 1968 yaani ni miaka 51 iliyopita, zaidi ya nusu karne, ilipigwa 5 - 0. Ni kweli miaka ya 90 Simba iligomea kurudi kipindi cha pili kwa sababu ya maamuzi mabovu ya refa ya kipindi cha kwanza na Yanga alikuwa akiongoza kwa bao 1 tu.
 
Hahahahaha historia ni historia tu...kumbukumbu zipo hata iwe ni lini...ndio uzuri wa historia...ila hilo la kukimbia kipindi cha pili sina kumbukumbu kuwa Yanga ilikuwa inaongoza bao 1-0...sina kumbukumbu hizo..kumbukumbu zangu ni 0-0 kipindi cha kwanza... ..nilikuwepo uwanjani siku hiyo...mechi ile bado ninazo kumbukumbu nzuri...Na suala la Simba kukimbia kipindi cha pili halikuwa la maamuzi mabaya ya mwamuzi...Kama yangekuwa ni maamuzi mabaya Simba siku hiyo kwa kipindi cha kwanza wangeweza kubaki na wachezaji saba kwa wengine kulimwa kadi yekundu...wachezaji wa Simba walikuwa wanawarukia makusudi wachezaji wa Yanga ili wapewe nyekundu na kuleta kisingizio cha kuonewa na kususia mechi...Hafidhi (sasa marehemu) akagoma kutoa kadi nyekundu ...kuona hivyo Simba akagoma kurudi kipindi cha pili...
 
Dah...sawa inawezekana mimi nimeujua mpira kuanzia mwaka 1990 na wewe unayesema Yanga ilifungwa na Simba 6-0 mwaka 1975 bila shaka uliifahamu soka mwaka huo wa 1975...inaelekea una kumbukumbu nzuri kwamba Yanga ilifungwa na Simba 6-0 mwaka 1975...hongera mtunza kumbukumbu nzuri...
Mkuu usipende kubisha ,nadhani bao 6-0 umekubali na hiyo record haijavunjwa mpaka leo,nampongeza aliyesaidia kukufafanulia mpaka Mchezaji Kibadeni ukitaka zaidi yupo ilala kamtafute maana umeujua mpira kibadeni na sunday wameacha kucheza..Haya Mabingwa wa kihistoria sijui mnawakilisha nchi kwenye Mashindano gani maana Bingwa wa Nchi ndio Simba ,Kombe la Azam ndio huyo Azam.
 
Wewe kinachokuumiza ni nini Yanga wakijiita mabingwa? Kinanachokuhangaisha ni nini hapo? Sindano haikuhusu acha wajiite mabingwa,kama inakuhusu tulia ikuingie na ikuume. Anza leo na wewe kujiita mabingwa uone kama kuna mtu atahangaika na wewe
Sawa
tapatalk_1559469382285.jpeg
 
Mkuu usipende kubisha ,nadhani bao 6-0 umekubali na hiyo record haijavunjwa mpaka leo,nampongeza aliyesaidia kukufafanulia mpaka Mchezaji Kibadeni ukitaka zaidi yupo ilala kamtafute maana umeujua mpira kibadeni na sunday wameacha kucheza..Haya Mabingwa wa kihistoria sijui mnawakilisha nchi kwenye Mashindano gani maana Bingwa wa Nchi ndio Simba ,Kombe la Azam ndio huyo Azam.

Hujui maana ya andiko langu, kaa na baki hivyo hivyo kama ulivyo..
 
Inawezekana hata hawa wachezaji wanaosajiliwa Yanga wanaambiwa kuwa unasajiliwa na mabingwa. Labda watakuja kupigwa butwaa kuona Simba na Azam ndizo zinapeleka majina CAF
 
Back
Top Bottom