Mkuu nenda makuu makuu ya Yanga utaikuta hiyo Mechi ya bao 6-0 sasa napata picha kuwa umeipenda Yanga hivi karibuni ni mbumbumbu wa Historia ya Simba na Yanga.
Ndiyo maana niliandika kuwa wengi wa vijana wa kizazi kipya hukurupuka....hoja yangu ilikuwa 'sikumbuki kamaYanga ilifungwa 6-0 na Simba mwaka 1975....' Sasa baadala ya kuichambua hoja yangu na kujisahihisha bado unarudia kosa lile lile...pole sana wewe ambaye siyo mbumbumbu...hongera kwa kujaliwa kuwa na kumbukumbu sahihi....