mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Nimekuwa nashangazwa na Yanga kuendelea kujiita Mabingwa wakati wakijua wazi huu ni mwaka wa pili Mabingwa ni SIMBA.Sasa hivi ukisoma taarifa zao za usajili utaona wameandika mchezaji fulani kajiunga na Mabingwa Yanga,najiuliza Yanga ni Mabingwa wa nini? Acheni kujitwika Ubingwa ambao hamna Bingwa wa Nchi hii ni mmoja tu ambaye ni SIMBA SPORTS CLUB,hakuna Bingwa mwingine huo ni Uhaini ktk Soka.
Hawa ni mabingwa kwenye kombe la ombaomba!Nimekuwa nashangazwa na Yanga kuendelea kujiita Mabingwa wakati wakijua wazi huu ni mwaka wa pili Mabingwa ni SIMBA.Sasa hivi ukisoma taarifa zao za usajili utaona wameandika mchezaji fulani kajiunga na Mabingwa Yanga,najiuliza Yanga ni Mabingwa wa nini? Acheni kujitwika Ubingwa ambao hamna Bingwa wa Nchi hii ni mmoja tu ambaye ni SIMBA SPORTS CLUB,hakuna Bingwa mwingine huo ni Uhaini ktk Soka.
Kwani ubingwa wa kihistoria unawakilisha Mashindani gani? kama ni historia zungumzia na kufungwa Bao 6-0 mwaka 1975 sijui ulikuwa upo duniani au laYaani nyie Simba mnavyotamba kwa miaka hii miwili utadhani mtakuwa mabingwa milele...kumbukeni ipo siku mtafungwa na Yanga na ikiwezekana kwa Yanga kuwa bingwa tena...Na safari hii kwa Yanga haitachukua muda mrefu...Hapo ndipo mtakapojua nguvu ya Yanga ikoje kwa idadi ya watu, wapenzi na wanachama wake...Upo wakati nilishuhudia Yanga ikiifunga Simba goli 1-0 baada ya kuburuzwa kwa karibu miaka mitano..hiyo ilikuwa ni mwaka 1981 kwa goli la Juma Mkambi kufuatia kona ya Amasha..Ilikuwa ni tukio la aina yake kwani miaka mitano mizima Yanga ilikuwa ikifungwa na Simba...safari hakuna cha miaka mitano....

Kwani ubingwa wa kihistoria unawakilisha Mashindani gani? kama ni historia zungumzia na kufungwa Bao 6-0 mwaka 1975 sijui ulikuwa upo duniani au la
Ni mabingwa wa kushindwaNimekuwa nashangazwa na Yanga kuendelea kujiita Mabingwa wakati wakijua wazi huu ni mwaka wa pili Mabingwa ni SIMBA.Sasa hivi ukisoma taarifa zao za usajili utaona wameandika mchezaji fulani kajiunga na Mabingwa Yanga,najiuliza Yanga ni Mabingwa wa nini? Acheni kujitwika Ubingwa ambao hamna Bingwa wa Nchi hii ni mmoja tu ambaye ni SIMBA SPORTS CLUB,hakuna Bingwa mwingine huo ni Uhaini ktk Soka.
Ubingwa wenyewe wa Simba ni wa viti maalumu"Nimekuwa nashangazwa na Yanga kuendelea kujiita Mabingwa wakati wakijua wazi huu ni mwaka wa pili Mabingwa ni SIMBA.Sasa hivi ukisoma taarifa zao za usajili utaona wameandika mchezaji fulani kajiunga na Mabingwa Yanga,najiuliza Yanga ni Mabingwa wa nini? Acheni kujitwika Ubingwa ambao hamna Bingwa wa Nchi hii ni mmoja tu ambaye ni SIMBA SPORTS CLUB,hakuna Bingwa mwingine huo ni Uhaini ktk Soka.
Mkuu nenda makuu makuu ya Yanga utaikuta hiyo Mechi ya bao 6-0 sasa napata picha kuwa umeipenda Yanga hivi karibuni ni mbumbumbu wa Historia ya Simba na Yanga.Ubingwa wa kihistoria bado upo pale pale...ndiyo maana ya historia...Kwa upande mwingine sikumbuki kama Yanga iliwahi kufungwa na Simba 6-0 mwaka 1975...Weka kumbukumbu zako vizuri...inaelekea hujui historia ya klabu hizi mbili...nadhani wewe ni kijana wa kizazi kipya na ambacho wengi wao hufanya mambo kwa pupa..