Mkuu nenda makuu makuu ya Yanga utaikuta hiyo Mechi ya bao 6-0 sasa napata picha kuwa umeipenda Yanga hivi karibuni ni mbumbumbu wa Historia ya Simba na Yanga.
Wewe ni mgeni sana ktk soka la tanzania,nina amini mpira wa simba na yanga umeujua miaka ya 1990 mpaka 2019,ushahidi ni kutokujua kuwa Simba iliifunga Yanga 6-0,acha ubishi wakati hilo dogo tu hulijuiNdiyo maana niliandika kuwa wengi wa vijana wa kizazi kipya hukurupuka....hoja yangu ilikuwa 'sikumbuki kamaYanga ilifungwa 6-0 na Simba mwaka 1975....' Sasa baadala ya kuichambua hoja yangu na kujisahihisha bado unarudia kosa lile lile...pole sana wewe ambaye siyo mbumbumbu...hongera kwa kujaliwa kuwa na kumbukumbu sahihi....
Yanga ilipigwa 6 - 0 mwaka 1977, Kibadeni akifunga hat trick, Yanga haijajibu kipigo hicho, sana sana mwaka 1994 mkapigwa 4 -1 na 2012 mkapigwa 5 - 0. Kuanzia mwaka 2016 enzi za Manji Yanga haijaifunga Simba, ushindi kwa Yanga ni sare au unabisha?Ubingwa wa kihistoria bado upo pale pale...ndiyo maana ya historia...Kwa upande mwingine sikumbuki kama Yanga iliwahi kufungwa na Simba 6-0 mwaka 1975...Weka kumbukumbu zako vizuri...inaelekea hujui historia ya klabu hizi mbili...nadhani wewe ni kijana wa kizazi kipya na ambacho wengi wao hufanya mambo kwa pupa..
Wewe ni mgeni sana ktk soka la tanzania,nina amini mpira wa simba na yanga umeujua miaka ya 1990 mpaka 2019,ushahidi ni kutokujua kuwa Simba iliifunga Yanga 6-0,acha ubishi wakati hilo dogo tu hulijui
Hahaha; mtani nakusalimu;Poleni kwa kuteswa na maneno Mikia.
Dah...sawa inawezekana mimi nimeujua mpira kuanzia mwaka 1990 na wewe unayesema Yanga ilifungwa na Simba 6-0 mwaka 1975 bila shaka uliifahamu soka mwaka huo wa 1975...inaelekea una kumbukumbu nzuri kwamba Yanga ilifungwa na Simba 6-0 mwaka 1975...hongera mtunza kumbukumbu nzuri...
Dah...sawa inawezekana mimi nimeujua mpira kuanzia mwaka 1990 na wewe unayesema Yanga ilifungwa na Simba 6-0 mwaka 1975 bila shaka uliifahamu soka mwaka huo wa 1975...inaelekea una kumbukumbu nzuri kwamba Yanga ilifungwa na Simba 6-0 mwaka 1975...hongera mtunza kumbukumbu nzuri...
Yanga ilipigwa 6 - 0 mwaka 1977, Kibadeni akifunga hat trick, Yanga haijajibu kipigo hicho, sana sana mwaka 1994 mkapigwa 4 -1 na 2012 mkapigwa 5 - 0. Kuanzia mwaka 2016 enzi za Manji Yanga haijaifunga Simba, ushindi kwa Yanga ni sare au unabisha?
Simba kupigwa kipigo heavy na Yanga ni mwaka 1968 yaani ni miaka 51 iliyopita, zaidi ya nusu karne, ilipigwa 5 - 0. Ni kweli miaka ya 90 Simba iligomea kurudi kipindi cha pili kwa sababu ya maamuzi mabovu ya refa ya kipindi cha kwanza na Yanga alikuwa akiongoza kwa bao 1 tu.Mwenzio humu ndani amesema kuwa Yanga ilifungwa na Simba 6-0 mwaka 1975 na sisi wengine tulipo
Mwenzio mmoja humu ameandika humu, tena kwa kujiamini, kuwa Yanga ilifungwa na Simba 6-0 mwaka 1975...sisi wengine tulipohoji ametuita kuwa sisi ni mbumbumbu na kwamba tumeifahamu soka kuanzia mwaka 1990...Nakubaliana na wewe kwa takwimu zako za kihistoria...Lakini nami nina kumbukumbu za kihistoria za Simba kuwahi kukung'utwa na Yanga 5-0...halafu upo mwaka nilikuwepo uwanjani pale uwanja wa taifa sasa uhuru, simba akakimbia kipindi cha pili kuingia uwanjani kwa hofu ya kukung'utwa...Tukawasubiri Simba wajitokeze wapi, wakaingia mitini....
Simba kupigwa kipigo heavy na Yanga ni mwaka 1968 yaani ni miaka 51 iliyopita, zaidi ya nusu karne, ilipigwa 5 - 0. Ni kweli miaka ya 90 Simba iligomea kurudi kipindi cha pili kwa sababu ya maamuzi mabovu ya refa ya kipindi cha kwanza na Yanga alikuwa akiongoza kwa bao 1 tu.
Simba kupigwa kipigo heavy na Yanga ni mwaka 1968 yaani ni miaka 51 iliyopita, zaidi ya nusu karne, ilipigwa 5 - 0. Ni kweli miaka ya 90 Simba iligomea kurudi kipindi cha pili kwa sababu ya maamuzi mabovu ya refa ya kipindi cha kwanza na Yanga alikuwa akiongoza kwa bao 1 tu.
Hahaaa. Mi sijambo mtani.Hahaha; mtani nakusalimu;
Naona mnasajili tu sasa vyuma vya kimataifa
Na safari hii nasikia kambi ni chinaHahaaa. Mi sijambo mtani.
Enheeee. Tuko busy na usajili. ππ
Sijaisikia hiyo Mtani. Ila ninaamini haitakuwa kama msimu uliopita.Na safari hii nasikia kambi ni china
China mtani: sisi sijui safalii tutaenda catalunya uko uhispaniaSijaisikia hiyo Mtani. Ila ninaamini haitakuwa kama msimu uliopita.
πππ Muende tu Mtani. Tutakutana msimu ujao 2019/2020China mtani: sisi sijui safalii tutaenda catalunya uko uhispania
Mkuu usipende kubisha ,nadhani bao 6-0 umekubali na hiyo record haijavunjwa mpaka leo,nampongeza aliyesaidia kukufafanulia mpaka Mchezaji Kibadeni ukitaka zaidi yupo ilala kamtafute maana umeujua mpira kibadeni na sunday wameacha kucheza..Haya Mabingwa wa kihistoria sijui mnawakilisha nchi kwenye Mashindano gani maana Bingwa wa Nchi ndio Simba ,Kombe la Azam ndio huyo Azam.Dah...sawa inawezekana mimi nimeujua mpira kuanzia mwaka 1990 na wewe unayesema Yanga ilifungwa na Simba 6-0 mwaka 1975 bila shaka uliifahamu soka mwaka huo wa 1975...inaelekea una kumbukumbu nzuri kwamba Yanga ilifungwa na Simba 6-0 mwaka 1975...hongera mtunza kumbukumbu nzuri...
SawaWewe kinachokuumiza ni nini Yanga wakijiita mabingwa? Kinanachokuhangaisha ni nini hapo? Sindano haikuhusu acha wajiite mabingwa,kama inakuhusu tulia ikuingie na ikuume. Anza leo na wewe kujiita mabingwa uone kama kuna mtu atahangaika na wewe
Mbona kinyonge mtaniπππ Muende tu Mtani. Tutakutana msimu ujao 2019/2020
Mkuu usipende kubisha ,nadhani bao 6-0 umekubali na hiyo record haijavunjwa mpaka leo,nampongeza aliyesaidia kukufafanulia mpaka Mchezaji Kibadeni ukitaka zaidi yupo ilala kamtafute maana umeujua mpira kibadeni na sunday wameacha kucheza..Haya Mabingwa wa kihistoria sijui mnawakilisha nchi kwenye Mashindano gani maana Bingwa wa Nchi ndio Simba ,Kombe la Azam ndio huyo Azam.