Yanga chali!

Yanga chali!

Bushmaster

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2022
Posts
583
Reaction score
1,265
Mabingwa wa mchongo, baada ya kukosa nauli na pesa ya kambi huko Turkey,
Walirudi kwa mdhamini wao sportpesa ili waone namna kama wangeweza kupata pesa ya kambi lakini sportpesa waligoma kwamba mahitaji hayo yalionekana kwenda kinyume na installments za mkataba.
 
Muongo ,kwani psortpes na GSN nani ana pesa
 
Ujinga ni mzigo wewe una tani ya mzigo wa ujinga.
 
Wewe undhani Sp ni kikampuni cha kimama eeeh, kampuni likioweza kudhamini team EPL unalichukuliaje wewe??

Uskute unadhani Sp ni ya Tarimba[emoji23].
Jamaa sijui katokea kazuramimba....boss wa maamuma hakuna alijualo
 
Wewe undhani Sp ni kikampuni cha kimama eeeh, kampuni likioweza kudhamini team EPL unalichukuliaje wewe??

Uskute unadhani Sp ni ya Tarimba[emoji23].

Jamaa kachanganywa na hilo neno pesa kaona limeandkwa kbongo akajua mmilik ni Tarimba
 
Umbumbumbu unazidi kujidhihilisha.......kabla ya kuandika ungeangalia kwanza Calendar ya next season........then Kwa mikia ni sawa kwenda huko maana msimu wa mashindano kwenu uliisha mapema,benchi jipya la ufundi,Yanga na Coastal Union walicheza fainali ya FA ,nyie mlikuwa wapenzi watazamaji tu mnapumzika........
 
Ifikie wakati Ismail Aden Rage aitengue tu ile kauli yake kwa mashabiki wa aina hii.
 
Back
Top Bottom