Kwani Simba walichukua point ngapi kwa Yanga mwaka huu? Simba si waliambulia point moja, Yanga akachukua 4? Au nimekosea? Kama Yanga alichukuacpoint 4 na Simba 1 tu, sasa mtoa post anatumia kiungo gani kufikiri?Ombi langu kwenu wananchi tukaribisheni siku ya mwananchi Kama kweli mna nia ya kupima team yenu kwa usajili mlio fanya.
Tutawapangia kikosi rafiki Kama hiki.
1 Salim
2 kameta
3 Gadiel Michael
4 Ame
5 Kenedy
6 Mzamilu
7 Dilunga
8 Fraga
9 Ilamfya
10 Ndemla
11 Miraji Athuman
Team hii naamini mtaiweza hii siku ya wananchi itakuwa shangwe kubwa la kulipa kisasi Cha 4G.
We' Mbumbumbu "kokosi" ndio nini?
Ushapaniki kanga moko ndembe ndembe fcTumbili, nyani fc wewe
Kwani Simba walichukua point ngapi kwa Yanga mwaka huu? Simba si waliambulia point moja, Yanga akachukua 4? Au nimekosea? Kama Yanga alichukuacpoint 4 na Simba 1 tu, sasa mtoa post anatumia kiungo gani kufikiri?
Mwana utopolo ni hivi angalia head to head msimu uliopita kati ya utopolo na Simba. Mechi zilikuwa tatu utopolo win 1 (1-0) draw 1(2-2) lost 1 (4-1).Kwa hiyo kama huna akili za kinyani utaona yupi alikuwa bora maana kutolewa FA ni zaidi ya kupoteza points 4.Tuna washabiki mbuzi wala hawakumbuki hii. Hata mwaka jana kelele zilikuwa hivi hivi yaliyotokea hawataki hata kusikia. Mbwembwe zile zile za mwaka jana point za Ligi Kuu waliambulia point 1.
Sijui unafikiria kwa kutumia nini ndugu? Hiyo mechi ya FA yanga aliyo lost dhidi ya simba ni zaidi ya kupoteza points 4.Kwani Simba walichukua point ngapi kwa Yanga mwaka huu? Simba si waliambulia point moja, Yanga akachukua 4? Au nimekosea? Kama Yanga alichukuacpoint 4 na Simba 1 tu, sasa mtoa post anatumia kiungo gani kufikiri?
Usitupangie,Ombi langu kwenu wananchi tukaribisheni siku ya mwananchi Kama kweli mna nia ya kupima team yenu kwa usajili mlio fanya.
Tutawapangia kikosi rafiki Kama hiki.
1. Salim
2. kameta
3 Gadiel Michael
4. Ame
5. Kenedy
6. Mzamiru
7. Dilunga
8. Fraga
9. Ilamfya
10 Ndemla
11. Miraji Athuman
Team hii naamini mtaiweza hii siku ya wananchi itakuwa shangwe kubwa la kulipa kisasi Cha 4G.