Yaani guruguja fc ni wasanii sana,mmeenda burundi mkajisevia kibonde ili mkionee..kwani hamkuona yule bingwa wa burundi hadi muende kuchukua timu iliyomaliza nafasi ya kumi,yaani kibongobongo ni kama mlicheza na singida utd,sasa bora hata azam waliocheza na namungo[emoji3]...hahaaaa tumejua janja yenu