cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,118
- 1,797
Nawasalimu kwa jina la jmt
Moja kwa moja niende kwenye mada , yakiwa yamebaki masaa kadhaa ili mabingwa wa soka tanzania wekundu wa msimbazi waingie kwenye vita kali ya kusaka point 3 dhidi ya wana lamba lamba,
Naishauri club yangu pendwa ya dar young africa wacheze mechi hii ili wawezeze kuwa kwenye possition nzur ya kunyakua ubingwa
Yanga wasipocheza mechi hii bado watakuwa na kibarua kigumu sana cha kunyakua taji kwani sehemu kubwa ya mechi zilizobaki watani wetu wekundu wa msimbazi ni lazima nao watacheza tu hali itakayopelekea sisi kukosa ubingwa
Nikiwa kama shabiki kindaki ndaki wa yanga, nashaur benchi la ufundi pamoja na viongozi wa yanga kucheza mechi hii kwa gharama yeyote ile , iwe kuloga, kuhonga waamuzi, kuhonga wachezaji wa simba au namna nyingine yeyote ile ili hawa watan wetu wapoteze hizo point 3 na sisi tuchukue kikombe mwaka huu
Huo ndio mtanzamo wangu kama shabiki