Yanga chezeni mechi ya Simba vs Azam ili mjihakikishie ubingwa

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,118
Reaction score
1,797
Nawasalimu kwa jina la jmt

Moja kwa moja niende kwenye mada , yakiwa yamebaki masaa kadhaa ili mabingwa wa soka tanzania wekundu wa msimbazi waingie kwenye vita kali ya kusaka point 3 dhidi ya wana lamba lamba,

Naishauri club yangu pendwa ya dar young africa wacheze mechi hii ili wawezeze kuwa kwenye possition nzur ya kunyakua ubingwa

Yanga wasipocheza mechi hii bado watakuwa na kibarua kigumu sana cha kunyakua taji kwani sehemu kubwa ya mechi zilizobaki watani wetu wekundu wa msimbazi ni lazima nao watacheza tu hali itakayopelekea sisi kukosa ubingwa

Nikiwa kama shabiki kindaki ndaki wa yanga, nashaur benchi la ufundi pamoja na viongozi wa yanga kucheza mechi hii kwa gharama yeyote ile , iwe kuloga, kuhonga waamuzi, kuhonga wachezaji wa simba au namna nyingine yeyote ile ili hawa watan wetu wapoteze hizo point 3 na sisi tuchukue kikombe mwaka huu

Huo ndio mtanzamo wangu kama shabiki
 
"wanaongoza ligi lakini hawana furaha" Oscar Oscar
 
Nyie Utopolo na Hao Lamba lamba ni Sehemu tu Ya Mazoezi Kwa Mnyama...!
 
nafaham hilo na ndio maana nikashauri na sisi tucheze hii mechi ili tuwaootezee gape!

nyie watu gani ambao hamna huruma? yaani miaka yote mnataka mchukue nyie tu.......[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
haiwezi kutokea azam akakubali kufungwa na Simba hadharani hiyo abadani kabisaaaaaa azam hawawezi kukubali kushinda bora ashuke daraja
 
Kila mtu acheze mechi zake hatuna haja ya kuhangaika na mechi za jirani Azam wanahitaji points 3 ni mhimu kwao same to Simba wanazitaka so atakaeshinda mechi ya leo ni uwezo wake tuachane na mambo ya kizamani
 
Nawasalimu kwa jina la JMT

moja kwa moja niende kwenye mada , yakiwa yamebaki masaa kadhaa ili mabingwa wa soka tanzania wekundu wa msimbazi waingie kwenye vita kali ya kusaka point 3 dhidi ya wana lamba lamba,

naishauri club yangu pendwa ya Dar Young Africa wacheze mechi hii ili wawezeze kuwa kwenye possition nzur ya kunyakua ubingwa

yanga wasipocheza mechi hii bado watakuwa na kibarua kigumu sana cha kunyakua taji kwani sehemu kubwa ya mechi zilizobaki watani wetu wekundu wa msimbazi ni lazima nao watacheza tu hali itakayopelekea sisi kukosa ubingwa

nikiwa kama shabiki kindaki ndaki wa yanga, nashaur benchi la ufundi pamoja na viongozi wa yanga kucheza mechi hii kwa gharama yeyote ile , iwe kuloga, kuhonga waamuzi, kuhonga wachezaji wa simba au namna nyingine yeyote ile ili hawa watan wetu wapoteze hizo point 3 na sisi tuchukue kikombe mwaka huu

huo ndio mtanzamo wangu kama shabiki
Azam hufurahi kufungwa na Simba na si Yanga.
 
Mashabiki wa JUJU FC huwa mnagundulika kwa wepesi sana. Mashabiki wa Yanga siyo mbumbumbu kama wewe.
 
Nawasalimu kwa jina la jmt

Moja kwa moja niende kwenye mada , yakiwa yamebaki masaa kadhaa ili mabingwa wa soka tanzania wekundu wa msimbazi waingie kwenye vita kali ya kusaka point 3 dhidi ya wana lamba lamba,

Naishauri club yangu pendwa ya dar young africa wacheze mechi hii ili wawezeze kuwa kwenye possition nzur ya kunyakua ubingwa

Yanga wasipocheza mechi hii bado watakuwa na kibarua kigumu sana cha kunyakua taji kwani sehemu kubwa ya mechi zilizobaki watani wetu wekundu wa msimbazi ni lazima nao watacheza tu hali itakayopelekea sisi kukosa ubingwa

Nikiwa kama shabiki kindaki ndaki wa yanga, nashaur benchi la ufundi pamoja na viongozi wa yanga kucheza mechi hii kwa gharama yeyote ile , iwe kuloga, kuhonga waamuzi, kuhonga wachezaji wa simba au namna nyingine yeyote ile ili hawa watan wetu wapoteze hizo point 3 na sisi tuchukue kikombe mwaka huu

Huo ndio mtanzamo wangu kama shabiki
Yanga haiwezi kuwa na shabiki mbumbu kama wewe, yanga haitegemei kubebwa na mpuuzi yeyote yule
 
Back
Top Bottom