Afisa Usalama wa Yanga alitakiwa kufanya kitu Ndio maana nae katimuliwaKwangu mimi hakukuwa na namna nyingine ya kumzuia mfungaji wa goli lilitosababisha Kaze afukuzwe kazi zaidi ya kusababisha penaliti.
Buswita ni mrefu na alitumia urefu wake kufungu, full stop!!. Matokeo kwenye round ya pili ni hayahaya tu kwa timu zote hasa baada ya timu kufanya makosa ya kuwaacha wachezaji wazuri kilevi kwenye usajili wa dirisha dogo.
Timu zote zimesajili wachezaji wazuri walioachwa kizembe na mabenchi ya ufundi. Wachezaji hawa walioachwa ndio wanaoziangamizi timu zao walizokuwa wakizichezea kwa kucheza kwa nguvu zao zote ili kuzifanya timu zijutie makosa yao ya kuwaacha.
afisa usalama angemkaba buswita man to manAfisa Usalama wa Yanga alitakiwa kufanya kitu Ndio maana nae katimuliwa
Nilishasemaga humu jf kuwa kuna timu imetenga fungu kubwa kwaajili ya kupata matokeo mazuri, haijulikani fungu hilo litatumikaje na kwa namna gani, Yanga wasiondoe uwezekano wa jambo hilo, kumfukuza Kaze inawezekana ni sehemu ya hizo pesa maana sioni ni kwa namna gani Kaze anahusika na mchezaji kukosa penaliti au kupoteza nafasi ya kufunga bao wakati amebaki yeye na kipa tu langoni. Katika timu kubwa kama Yanga Kocha kazi yake kubwa ni kuinganisha timu icheze kitimu na kutengeneza nafasi za kufunga magoli lakini sio kumfundisha mchezaji namna ya kuingiza mpira golini. Timu ya Yanga chini ya Kaze inatengeneza nafasi nyingi lakini wachezaji wanashindwa wenyewe kuzigeuza nafasi hizo kuwa magoli.Lakini Senzo si alikuja na faili la Simba sasa inakuwaje tena jahazi laenda mrama?
Nasikia huyu afisa usalama nafasi yake halisi ni mganga wa kienyeji!! Al maarufu kama kamati ya ufundi!! Ameshindwa kuilinda utopolo dhidi ya magoli!!Afisa Usalama wa Yanga alitakiwa kufanya kitu Ndio maana nae katimuliwa