SAIDI MWINYIMVUA
Member
- Oct 19, 2022
- 62
- 59
Ndio ivyo ila inatakiwa viongozi wetu wasilete ujanja ujanja watumie ghalama kubwa kupata Wachezaji wenye quality maana dilisha dgo la usajili kupata Wachezaji wazuli ni ghalama sanaUpo sahihi mkuu
Wapo Wachezaji wengi wazuri na wazoefu wa haya mashindano ya caf ambao timu zao hazikupata nafasi ya kushiriki aya mashindano kikubwa iwepo bajeti ya kutosha tu na kwenye eneo la ushambuliaji ni sehemu niliyoitaja kwenye huo usajili wa malekebishoHao wachezaji kumbuka hawqtoweza kushiriki michuano ya CAF msimu huu mpaka msimu ujao
Halafu kwa maslahi mapana ya Yanga, kama uongozi upo serious basi watafute striker mwingine.
Kwa kiwango alichokionesha saizi Mayele kwenye mechi nne za mwisho hana uwiano mzuri wa kukuhakikishia anafunga.
Sisemi kama hafai na kwamba anapaswa kutolewa, ila yuko katika kipindi ambacho hana form work nzuri so ni bora kwenye ile nafasi ya Makambo akatafutwa Striker mwingine
Na sometimes hata hiyo inaweza kutoa faida kwa pande zote mbili, kuanzia kwa mchezaji hadi kwa club.
Nikiwa na maana kwamba mchezaji akiona namba yake kuna mchezaji mwingine anayecheza vizuri basi lazima atakuwa anajituma kwa nguvu zake zote ili aendelee kupata nafasi
Umeshau kufyeka bigirimana na Bryson davidBeki mmoja, Winga mmmoja, Fowadi mmoja na Midfielder mmoja.... Wanne tu wanatosha..
Fyeka Makambo, Fyeka Ngushi, Fyeka Kisinda, Fyeka Yusuph, Fyeka Ambundo , Charaza bakora Johola
SureHao wachezaji kumbuka hawqtoweza kushiriki michuano ya CAF msimu huu mpaka msimu ujao
Halafu kwa maslahi mapana ya Yanga, kama uongozi upo serious basi watafute striker mwingine.
Kwa kiwango alichokionesha saizi Mayele kwenye mechi nne za mwisho hana uwiano mzuri wa kukuhakikishia anafunga.
Sisemi kama hafai na kwamba anapaswa kutolewa, ila yuko katika kipindi ambacho hana form work nzuri so ni bora kwenye ile nafasi ya Makambo akatafutwa Striker mwingine
Na sometimes hata hiyo inaweza kutoa faida kwa pande zote mbili, kuanzia kwa mchezaji hadi kwa club.
Nikiwa na maana kwamba mchezaji akiona namba yake kuna mchezaji mwingine anayecheza vizuri basi lazima atakuwa anajituma kwa nguvu zake zote ili aendelee kupata nafasi
Ungekua mwanamke ningehisi una mimba ya MayeleHao wachezaji kumbuka hawqtoweza kushiriki michuano ya CAF msimu huu mpaka msimu ujao
Halafu kwa maslahi mapana ya Yanga, kama uongozi upo serious basi watafute striker mwingine.
Kwa kiwango alichokionesha saizi Mayele kwenye mechi nne za mwisho hana uwiano mzuri wa kukuhakikishia anafunga.
Sisemi kama hafai na kwamba anapaswa kutolewa, ila yuko katika kipindi ambacho hana form work nzuri so ni bora kwenye ile nafasi ya Makambo akatafutwa Striker mwingine
Na sometimes hata hiyo inaweza kutoa faida kwa pande zote mbili, kuanzia kwa mchezaji hadi kwa club.
Nikiwa na maana kwamba mchezaji akiona namba yake kuna mchezaji mwingine anayecheza vizuri basi lazima atakuwa anajituma kwa nguvu zake zote ili aendelee kupata nafasi
Ambundo mzuri yule hata Ngushi.Beki mmoja, Winga mmmoja, Fowadi mmoja na Midfielder mmoja.... Wanne tu wanatosha..
Fyeka Makambo, Fyeka Ngushi, Fyeka Kisinda, Fyeka Yusuph, Fyeka Ambundo , Charaza bakora Johola
Hapa hujataka unafiki kabisa kumtakia mpinzani wako mazuri, wachache sana wanaweza kukushauri namna hii, mashabiki wengi wa yanga hatulioni hili tatizo.Hao wachezaji kumbuka hawqtoweza kushiriki michuano ya CAF msimu huu mpaka msimu ujao
Halafu kwa maslahi mapana ya Yanga, kama uongozi upo serious basi watafute striker mwingine.
Kwa kiwango alichokionesha saizi Mayele kwenye mechi nne za mwisho hana uwiano mzuri wa kukuhakikishia anafunga.
Sisemi kama hafai na kwamba anapaswa kutolewa, ila yuko katika kipindi ambacho hana form work nzuri so ni bora kwenye ile nafasi ya Makambo akatafutwa Striker mwingine
Na sometimes hata hiyo inaweza kutoa faida kwa pande zote mbili, kuanzia kwa mchezaji hadi kwa club.
Nikiwa na maana kwamba mchezaji akiona namba yake kuna mchezaji mwingine anayecheza vizuri basi lazima atakuwa anajituma kwa nguvu zake zote ili aendelee kupata nafasi
Ungekuwa mwanaume ningehisi una feelings za kishogaUngekua mwanamke ningehisi una mimba ya Mayele
Huwezi kua na akili timamu umemkomalia mtu kila siku Mayele .. Mayele kuna wachezaji wangapi hawajafunga hata goli moja mpka ukomae nae? huko kwenu Bocco, Kibu, Chama, Kyombo, wana magoli mangapi ? George Mpole na Sopu kipenzi chenu wako wapi unakua kama kahaba kakopwa papuchiUngekuwa mwanaume ningehisi una feelings za kishoga
Mechi ya Club African alietoa assist ni nani? mechi ya Kagera sugar hukuona kazi aliyofanya Mayele mpka goli likapatikana? ndio maana nlikuuliza maana ya performance ukaanza kuzunguka kama pakaUngekuwa mwanaume ningehisi una feelings za kishoga
Mayele Msimu huuHao wachezaji kumbuka hawqtoweza kushiriki michuano ya CAF msimu huu mpaka msimu ujao
Halafu kwa maslahi mapana ya Yanga, kama uongozi upo serious basi watafute striker mwingine.
Kwa kiwango alichokionesha saizi Mayele kwenye mechi nne za mwisho hana uwiano mzuri wa kukuhakikishia anafunga.
Sisemi kama hafai na kwamba anapaswa kutolewa, ila yuko katika kipindi ambacho hana form work nzuri so ni bora kwenye ile nafasi ya Makambo akatafutwa Striker mwingine
Na sometimes hata hiyo inaweza kutoa faida kwa pande zote mbili, kuanzia kwa mchezaji hadi kwa club.
Nikiwa na maana kwamba mchezaji akiona namba yake kuna mchezaji mwingine anayecheza vizuri basi lazima atakuwa anajituma kwa nguvu zake zote ili aendelee kupata nafasi
Mkuu najua jamaa huwa na chuki na Mayele, lakini kiufundi scars yupo sahihi sana kama kweli tunahitaji kufanya vizuri zaidi hasa kwenye kimataifa tubahitaji kusajili mshambuliaji mwingine zaidi ya Mayele.Huwezi kua na akili timamu umemkomalia mtu kila siku Mayele .. Mayele kuna wachezaji wangapi hawajafunga hata goli moja mpka ukomae nae? huko kwenu Bocco, Kibu, Chama, Kyombo, wana magoli mangapi ? George Mpole na Sopu kipenzi chenu wako wapi unakua kama kahaba kakopwa papuchi
We mbona kila siku umenikomalia mimi napo msema Mayele na kwa kitendo hicho sijawahi kukufikiria kama utakuwa huna utimamu?Huwezi kua na akili timamu umemkomalia mtu kila siku Mayele .. Mayele kuna wachezaji wangapi hawajafunga hata goli moja mpka ukomae nae? huko kwenu Bocco, Kibu, Chama, Kyombo, wana magoli mangapi ? George Mpole na Sopu kipenzi chenu wako wapi unakua kama kahaba kakopwa papuchi
Pengine alikuwa ana stahili kuwa far zaidi ya hapoMayele Msimu huu
Ngao ya jamii [emoji460]️[emoji460]️ (2)
Champions leagu [emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️ (7)
Ligi kuu [emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️ (2) game 2 hajacheza
Assist (3)
Nitajie mchezaji yeyote anayemkaribia Mayele katika michezo 14 aliyocheza msimu huu, huku akihusika katika magoli 14
Tunatakiwa tuwe na winga kama Kipre jr au DarioYanga inatakiwa ilete kiungo mkabaji au beki wa kati mwenye ubora na uzoefu wa mashindano ya caf.
Apatikane winga na mshambuliaji naamini kwa kile kikosi chetu.
Na hao Wachezaji kama watapatikana wa maana basi mashindano ya ndani yote tunabeba na kule shirikisho tumefeli sana basi ni nusu fainali