Yanga dirisha dogo wafanye marekebisho maeneo haya

Hao wachezaji kumbuka hawqtoweza kushiriki michuano ya CAF msimu huu mpaka msimu ujao

Halafu kwa maslahi mapana ya Yanga, kama uongozi upo serious basi watafute striker mwingine.

Kwa kiwango alichokionesha saizi Mayele kwenye mechi nne za mwisho hana uwiano mzuri wa kukuhakikishia anafunga.

Sisemi kama hafai na kwamba anapaswa kutolewa, ila yuko katika kipindi ambacho hana form work nzuri so ni bora kwenye ile nafasi ya Makambo akatafutwa Striker mwingine

Na sometimes hata hiyo inaweza kutoa faida kwa pande zote mbili, kuanzia kwa mchezaji hadi kwa club.

Nikiwa na maana kwamba mchezaji akiona namba yake kuna mchezaji mwingine anayecheza vizuri basi lazima atakuwa anajituma kwa nguvu zake zote ili aendelee kupata nafasi
 
Wapo Wachezaji wengi wazuri na wazoefu wa haya mashindano ya caf ambao timu zao hazikupata nafasi ya kushiriki aya mashindano kikubwa iwepo bajeti ya kutosha tu na kwenye eneo la ushambuliaji ni sehemu niliyoitaja kwenye huo usajili wa malekebisho
 
Beki mmoja, Winga mmmoja, Fowadi mmoja na Midfielder mmoja.... Wanne tu wanatosha..
Fyeka Makambo, Fyeka Ngushi, Fyeka Kisinda, Fyeka Yusuph, Fyeka Ambundo , Charaza bakora Johola
 
Hao wachezaji kumbuka hawqtoweza kushiriki michuano ya CAF msimu huu mpaka msimu ujao

Halafu kwa maslahi mapana ya Yanga, kama uongozi upo serious basi watafute striker mwingine.

Kwa kiwango alichokionesha saizi Mayele kwenye mechi nne za mwisho hana uwiano mzuri wa kukuhakikishia anafunga.

Sisemi kama hafai na kwamba anapaswa kutolewa, ila yuko katika kipindi ambacho hana form work nzuri so ni bora kwenye ile nafasi ya Makambo akatafutwa Striker mwingine

Na sometimes hata hiyo inaweza kutoa faida kwa pande zote mbili, kuanzia kwa mchezaji hadi kwa club.

Nikiwa na maana kwamba mchezaji akiona namba yake kuna mchezaji mwingine anayecheza vizuri basi lazima atakuwa anajituma kwa nguvu zake zote ili aendelee kupata nafasi
Sure
 
Ungekua mwanamke ningehisi una mimba ya Mayele
 
Beki mmoja, Winga mmmoja, Fowadi mmoja na Midfielder mmoja.... Wanne tu wanatosha..
Fyeka Makambo, Fyeka Ngushi, Fyeka Kisinda, Fyeka Yusuph, Fyeka Ambundo , Charaza bakora Johola
Ambundo mzuri yule hata Ngushi.
 
Hao wachezaji kumbuka hawqtoweza kushiriki michuano ya CAF msimu huu mpaka msimu ujao

Halafu kwa maslahi mapana ya Yanga, kama uongozi upo serious basi watafute striker mwingine.

Kwa kiwango alichokionesha saizi Mayele kwenye mechi nne za mwisho hana uwiano mzuri wa kukuhakikishia anafunga.

Sisemi kama hafai na kwamba anapaswa kutolewa, ila yuko katika kipindi ambacho hana form work nzuri so ni bora kwenye ile nafasi ya Makambo akatafutwa Striker mwingine

Na sometimes hata hiyo inaweza kutoa faida kwa pande zote mbili, kuanzia kwa mchezaji hadi kwa club.

Nikiwa na maana kwamba mchezaji akiona namba yake kuna mchezaji mwingine anayecheza vizuri basi lazima atakuwa anajituma kwa nguvu zake zote ili aendelee kupata nafasi
Hapa hujataka unafiki kabisa kumtakia mpinzani wako mazuri, wachache sana wanaweza kukushauri namna hii, mashabiki wengi wa yanga hatulioni hili tatizo.

[emoji3] Toa makambo ongeza mshambuliaji mwengine.

[emoji3] Toa kisinda ongeza beki wa kati. (hii sio lazima sana maana bado nafasi nyingi tunatengeneza shida mayele kule anatuzingua sana).
 
Ungekuwa mwanaume ningehisi una feelings za kishoga
Huwezi kua na akili timamu umemkomalia mtu kila siku Mayele .. Mayele kuna wachezaji wangapi hawajafunga hata goli moja mpka ukomae nae? huko kwenu Bocco, Kibu, Chama, Kyombo, wana magoli mangapi ? George Mpole na Sopu kipenzi chenu wako wapi unakua kama kahaba kakopwa papuchi
 
Mechi ya Club African alietoa assist ni nani? mechi ya Kagera sugar hukuona kazi aliyofanya Mayele mpka goli likapatikana? ndio maana nlikuuliza maana ya performance ukaanza kuzunguka kama paka
 
Hao wachezaji kumbuka hawqtoweza kushiriki michuano ya CAF msimu huu mpaka msimu ujao

Halafu kwa maslahi mapana ya Yanga, kama uongozi upo serious basi watafute striker mwingine.

Kwa kiwango alichokionesha saizi Mayele kwenye mechi nne za mwisho hana uwiano mzuri wa kukuhakikishia anafunga.

Sisemi kama hafai na kwamba anapaswa kutolewa, ila yuko katika kipindi ambacho hana form work nzuri so ni bora kwenye ile nafasi ya Makambo akatafutwa Striker mwingine

Na sometimes hata hiyo inaweza kutoa faida kwa pande zote mbili, kuanzia kwa mchezaji hadi kwa club.

Nikiwa na maana kwamba mchezaji akiona namba yake kuna mchezaji mwingine anayecheza vizuri basi lazima atakuwa anajituma kwa nguvu zake zote ili aendelee kupata nafasi
Mayele Msimu huu
Ngao ya jamii [emoji460]️[emoji460]️ (2)
Champions leagu [emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️ (7)
Ligi kuu [emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️ (2) game 2 hajacheza
Assist (3)
Nitajie mchezaji yeyote anayemkaribia Mayele katika michezo 14 aliyocheza msimu huu, huku akihusika katika magoli 14
 
Huwezi kua na akili timamu umemkomalia mtu kila siku Mayele .. Mayele kuna wachezaji wangapi hawajafunga hata goli moja mpka ukomae nae? huko kwenu Bocco, Kibu, Chama, Kyombo, wana magoli mangapi ? George Mpole na Sopu kipenzi chenu wako wapi unakua kama kahaba kakopwa papuchi
Mkuu najua jamaa huwa na chuki na Mayele, lakini kiufundi scars yupo sahihi sana kama kweli tunahitaji kufanya vizuri zaidi hasa kwenye kimataifa tubahitaji kusajili mshambuliaji mwingine zaidi ya Mayele.
Mayele anahitaji nafasi zaidi ya tano ili afunge goli, sio mchezaji ambaye ukifanya mistake kakuadhibu.
Ana tabia ya uchoyo mno, ameikosesha timu magoli mengi sana hadi sasa kwa ubinafsi.
Kiwango chake hakina muendelezo mzuri wa kufunga.
Na la mwisho hakuna straika wa kumsaidia pale ambapo Mayele hayupo kwenye fomu au ikitokea kaumia. Makambo hastaili kubakia Yanga kwasasa

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kua na akili timamu umemkomalia mtu kila siku Mayele .. Mayele kuna wachezaji wangapi hawajafunga hata goli moja mpka ukomae nae? huko kwenu Bocco, Kibu, Chama, Kyombo, wana magoli mangapi ? George Mpole na Sopu kipenzi chenu wako wapi unakua kama kahaba kakopwa papuchi
We mbona kila siku umenikomalia mimi napo msema Mayele na kwa kitendo hicho sijawahi kukufikiria kama utakuwa huna utimamu?

Hujiulizi kwanini?

Kwanini napomsema Mayele usijitokeze kwa hoja ili tubishane kwa hoja tuone kama haya nayoyasema ni uongo?

Mimi nimeanza kumsema Mayele kitambo na sijaanzia kwake tu, hata Simba nimemsema Kibu, nimemsema Enonga pale napoona wanafanya uzembe

Wachezaji wengine kushindwa kufunga magoli hiyo sio excuse ya kuacha kusema ubovu aliouonesha mchezaji husika

Pengine hao hawafungi kwasababu hawatengenezewi nafasi ambazo huyo Mayele amebahatika kuzipata

Pengine hao hawafungi kwasababu hakuna uwiano mzuri wa ubora wa kikosi chao na timu pinzani

Una ubongo wa mende unapenda sana kutumia hisia kama mwanamke na hujawahi kuwa na respond nzuri ya kiungwana

Hao wakina Kyombo tuliwahi kuwasema madhaifu yao kwenye mechi walizocheza bila kuangalia ni mchezaji wa timu nayo ishabikia

Na usikute katika hicho kipindi ambacho tunawalaumu hao kina Kyombo wewe ulikuwa unakenua mimeno na kufurahi au kutuongezea kejeli kwa kujitapa na Mayele

Labda huwezi kuwaona wanazua mjadala mkubwa humu kwasababu hawapati nafasi ya kucheza muda mwingi uwanjani

Mwana Simba gani leo hii anaweza mfichia madhaifu Kibu aliyoyaonesha kwenye recently games eti kwakua ni mchezaji wa timu yake?

Jifunze reasoning usitangulize hisia kwenye kila jambo, wakina Israh, Mzamiru wote hao sisi tumewahi kuwasema humu pale walipocheza hovyo. Lini uliwahi kuthubutu kuniambia nina chuki na Isra Mwenda?

Ni hivyo tu kwasababu hao wachezaji sio pendwa kwako na hawahudumu kwenye timu unayoishabikia na ndio maana kipindi ambacho tunazungumza madhaifu yao hukuwahi kutoka kidedea kuwatetea kuwa tuna chuki nao

Punguza hisia jitahidi uwe unashirikisha ubongo Mkuu
 
Mayele Msimu huu
Ngao ya jamii [emoji460]️[emoji460]️ (2)
Champions leagu [emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️ (7)
Ligi kuu [emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️ (2) game 2 hajacheza
Assist (3)
Nitajie mchezaji yeyote anayemkaribia Mayele katika michezo 14 aliyocheza msimu huu, huku akihusika katika magoli 14
Pengine alikuwa ana stahili kuwa far zaidi ya hapo

Uzuri wote tunaangalia mpira na hata kwenye nyuzi za updates huwa nasemaga.

Nafasi anazozipata Mayele ni nyingi mno lakini kuzi convert na kuwa magoli imekuwa ni mtihani kwake hususani katika kipindi hiki
 
Yanga inatakiwa ilete kiungo mkabaji au beki wa kati mwenye ubora na uzoefu wa mashindano ya caf.

Apatikane winga na mshambuliaji naamini kwa kile kikosi chetu.

Na hao Wachezaji kama watapatikana wa maana basi mashindano ya ndani yote tunabeba na kule shirikisho tumefeli sana basi ni nusu fainali
Tunatakiwa tuwe na winga kama Kipre jr au Dario

Yaani tunahitaji inverted winger, Sio winger anayecheza kwenye kibendera kama kisinda.
 
Back
Top Bottom