Yanga dirisha dogo wafanye marekebisho maeneo haya

Morison.

Bigirimana.

Tuisila kisinda.

Kambole.

Makambo.

Moroko.

Romalisa.

Hii ni MIZIGO.
Siasa Mbaya sana
 
Tunatakiwa tuwe na winga kama Kipre jr au Dario

Yaani tunahitaji inverted winger, Sio winger anayecheza kwenye kibendera kama kisinda.

Hivi mkuu unaona huyo dario ni winga sanaaaa????dah nyie watu mpira mnaujue kweli??yule ni mwehu tuu kazi kupiga piga vichenga ila hakuna lolote winga wenu yule nkane na farid na bm3 wanatosha sana sema mkajaa upepo sjui kisinda arudi,haya karudi anakimbia kimbia tu kama bolt
 
Nadhani majibu umepata toka kwa Matele
 
Na isitoshe wewe ni mwanamke unaanzaje kushauri wakati kama huu ambao upo period?
Kuna tofauti Kati ya CCM na YANGA!

WEWE UTAKUWA MWANACHAMA WA CCM!!

Hakunaga shabiki wa YANGA anayeongea lugha za namna hiyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…