Hao wachezaji kumbuka hawqtoweza kushiriki michuano ya CAF msimu huu mpaka msimu ujao
Halafu kwa maslahi mapana ya Yanga, kama uongozi upo serious basi watafute striker mwingine.
Kwa kiwango alichokionesha saizi Mayele kwenye mechi nne za mwisho hana uwiano mzuri wa kukuhakikishia anafunga.
Sisemi kama hafai na kwamba anapaswa kutolewa, ila yuko katika kipindi ambacho hana form work nzuri so ni bora kwenye ile nafasi ya Makambo akatafutwa Striker mwingine
Na sometimes hata hiyo inaweza kutoa faida kwa pande zote mbili, kuanzia kwa mchezaji hadi kwa club.
Nikiwa na maana kwamba mchezaji akiona namba yake kuna mchezaji mwingine anayecheza vizuri basi lazima atakuwa anajituma kwa nguvu zake zote ili aendelee kupata nafasi