Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
Pamoja na kuchukua ubingwa msimu huu timu ya Yanga haina ufundi wa kumiliki mpira. Viungo wa Yanga haoneshi kabisaa uwezo mkubwa wa kumiliki mpira ili wawavute mabeki watoke golini , waende pembeni na kuachia vyumba ili wafungaji washambulie vema.
Vile vile jinsi beki inavyojipanga katika kulinda goli hakuoneshi kukomaa kiufundi. Mabeki mara zote hutawanyika hovyo na kubiri ngeke tuu iokoe mashambulizi.
Yanga isipofanyia kazi suala la umiliki mpira itajikuta inatolewa mapema katika mbio za kuingia katikla makundi ya klabu bingwa Africa. Timu nyingi sana zimepiga hatua katika umiliki wa mpira ambazo yanga itacheza nazo katika mtoano. lazima Yanga ijifunze kwanini ilitolewa hatua ya awali na timu ya Nigeria ili liwe fundisho la kujifunza kutorudia makosa mwaka huu.
Jamani mashabiki wa yanga lazima tuikosoe timu ili tumdai kocha yale ya maana kwa mslahi ya timu kuchukua ubingwa wa Africa.