Yanga fanyia kazi suala la umiliki wa mpira

Yanga fanyia kazi suala la umiliki wa mpira

umesena vema mkurugenzi wetu. mechi zote za robo fainali klabu bingwa africa nimeziona live . hapo kama mshabiki wa yanga lazima nilinganishe na uwezo wa ball possesion timu yetu iliouonesha ktk kuu ligi.ikiwa nimeona mapungufu ambayo yanaweza kutunyima raha ya kushindwa kuingia makundini mwa vilabu bora vya kucheza ligi ya CAF lazima niyataje mapema ili tuwadai kaze na nabi.
ball possesion ni injini ya kiufundi ambapo timu lazima ijue vema ili ijue jinsi gani ya kusonga mbele na kurudi nyuma kulinda goli. huwezi kubutua mbele mpira ikiwa timu pinzani imejaza mabeki golini. ball possesion ndio injini inayo saidia kuwavuta mabeki watoke pale walipo ili waje fuata mpira ndipo hapo washambuliaji hupata mianya ya kusonga mbele kuwinda magoli.
Taifa star imepiga hatua kubwa sana ya ball possesion ambapo kama tukifanikiwa tuu kwenda fainali za ivory cost tutafika mbali sana na kuuza wachezaji wengi nje ya nchi kwa jinsi ufundi wa kuvutia kocha alivowanoa vijana wetu. Timu zote za algeria, moroco, misri ghana cameroon na angola zina uwezo mkubwa sana wa ball possesion. Yanga isiwe nyuma kuwashinda hao wenzetu. mm sitaki huzuni ya kuishia kutolewa hatua ya awali.
.
Hujui mpira wewe game ya Kaizer simba kala 4 na mpira kamiliki 60%+ Al ahl kapigwa na Wydad mpira kamiliki Liverpool kapigwa na Madrid possession zipo juu Leo simba kalambwa na Prison na mpira kamiliki nichambulie hapo
 
Kama mtafanya hivi huenda mkafanikiwa,lakini hapo mlipofika ni gsm ameshinda mechi nje ya uwanja ndio maana uliona yanga haipotezi mechi.

Huu ulikuwa mkakati maalum na kuna wachezaji wa timu mbali mbali wanajua siri hii.

Hata hivyo niwapongeze kwa kutwaa ubingwa maana hata hiyo michezo ya nje ya uwanja inahitaji mbinu kali
Umetoroka Milembe!
 
Pamoja na kuchukua ubingwa msimu huu timu ya Yanga haina ufundi wa kumiliki mpira. Viungo wa Yanga haoneshi kabisaa uwezo mkubwa wa kumiliki mpira ili wawavute mabeki watoke golini , waende pembeni na kuachia vyumba ili wafungaji washambulie vema.

Vile vile jinsi beki inavyojipanga katika kulinda goli hakuoneshi kukomaa kiufundi. Mabeki mara zote hutawanyika hovyo na kubiri ngeke tuu iokoe mashambulizi.

Yanga isipofanyia kazi suala la umiliki mpira itajikuta inatolewa mapema katika mbio za kuingia katikla makundi ya klabu bingwa Africa. Timu nyingi sana zimepiga hatua katika umiliki wa mpira ambazo yanga itacheza nazo katika mtoano. lazima Yanga ijifunze kwanini ilitolewa hatua ya awali na timu ya Nigeria ili liwe fundisho la kujifunza kutorudia makosa mwaka huu.

Jamani mashabiki wa yanga lazima tuikosoe timu ili tumdai kocha yale ya maana kwa mslahi ya timu kuchukua ubingwa wa Africa.
Kawashauri koloz
 
Yanga anaenda mpaka final msimu huu wa league ya mabingwa.
kila mtanzania analiombea hilo hata watani wetu wa jadi watatupa pongezi. Ila jaribu kuangalia macho ya kiutaalam zaidi ili hayo usemayo yafanikiwe.
 
Hujui mpira wewe game ya Kaizer simba kala 4 na mpira kamiliki 60%+ Al ahl kapigwa na Wydad mpira kamiliki Liverpool kapigwa na Madrid possession zipo juu Leo simba kalambwa na Prison na mpira kamiliki nichambulie hapo
naipenda yanga kupita wewe hilo elewa wazi. nitakacho mimi ni kuvuka mtoano na kuingia moja kwa moja kulichukua kombe. Yale yanitiayo wasi wasi lazima niyaseme mapema ili kama yapo basi tuyafanyie kazi mimi na wewe na makocha. kama leo mtani kapigwa na prison basi ni kosa lao. wametema pilipili na kumuachia timu mzawa watajutia zaidi.
 
Mpira magoli. Sio chenga Wala kumiliki
hizi ndo imani za wahenga zinazo halibu timu . sasa wewe subili kwanza tualike timu mbili tuu tucheze nazo mechi za kirafiki siku ya wananci day. ialike Petro de Luanda,kaizer chief na asante kotoko. baada ya mechi hizo za kirafiki utaona ni kiasi gani uwezo wetu wa kucheza mechi za kimataifa umekomaa.
 
Back
Top Bottom