Yanga fanyia kazi suala la umiliki wa mpira

Hujui mpira wewe game ya Kaizer simba kala 4 na mpira kamiliki 60%+ Al ahl kapigwa na Wydad mpira kamiliki Liverpool kapigwa na Madrid possession zipo juu Leo simba kalambwa na Prison na mpira kamiliki nichambulie hapo
 
Umetoroka Milembe!
 
Kawashauri koloz
 
Yanga anaenda mpaka final msimu huu wa league ya mabingwa.
kila mtanzania analiombea hilo hata watani wetu wa jadi watatupa pongezi. Ila jaribu kuangalia macho ya kiutaalam zaidi ili hayo usemayo yafanikiwe.
 
Hujui mpira wewe game ya Kaizer simba kala 4 na mpira kamiliki 60%+ Al ahl kapigwa na Wydad mpira kamiliki Liverpool kapigwa na Madrid possession zipo juu Leo simba kalambwa na Prison na mpira kamiliki nichambulie hapo
naipenda yanga kupita wewe hilo elewa wazi. nitakacho mimi ni kuvuka mtoano na kuingia moja kwa moja kulichukua kombe. Yale yanitiayo wasi wasi lazima niyaseme mapema ili kama yapo basi tuyafanyie kazi mimi na wewe na makocha. kama leo mtani kapigwa na prison basi ni kosa lao. wametema pilipili na kumuachia timu mzawa watajutia zaidi.
 
Mpira magoli. Sio chenga Wala kumiliki
hizi ndo imani za wahenga zinazo halibu timu . sasa wewe subili kwanza tualike timu mbili tuu tucheze nazo mechi za kirafiki siku ya wananci day. ialike Petro de Luanda,kaizer chief na asante kotoko. baada ya mechi hizo za kirafiki utaona ni kiasi gani uwezo wetu wa kucheza mechi za kimataifa umekomaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…