GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Naamini hapa ' message sent and delivered ' vizuri tu.
Nawasilisha.
Nawasilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekusikia watalifanyia kaziNaamini hapa ' message sent and delivered ' vizuri tu.
Nawasilisha.
Tambwe ni bonge la striker namkubali sanaNaamini hapa ' message sent and delivered ' vizuri tu.
Nawasilisha.
Nimeona leo mnachekacheka msibani kwa aliefia uwanjani, badala ya kusikitika,Naamini hapa ' message sent and delivered ' vizuri tu.
Nawasilisha.
Kafunga hat trick kwa tukuyu stars afu anashangiliaInjinia soma hiyooo
Ni #hattrik mkuu
Kashangilia Makambako eti kawafunga Jkt angefunga goli kama la chama angevua sijui mpaka nn.
Leo Tambwe kaona vitu vya kawaida kufunga eti afundishwe mashabiki wa Simba bana naona mmekua wasemaji wa Yanga Fc
Tambwe yuko vizuri ni bonge la striker, ndio maana hata wewe umeleta uzi hapa kumsifia kwa kazi nzuri anayofanya ya kutupia magoliAnamfikia Meddie Kagere?
Nimeona leo mnachekacheka msibani kwa aliefia uwanjani, badala ya kusikitika,
Tambwe ndio mchezaji pekee wa kigeni mwenye magoli mengi hapa BongoAnamfikia Meddie Kagere?
mmemtoa kafara mzee Kessy Simba ni wauajiKuna ' Uzi ' wangu niliuandika Juzi utafute Uusome kwani niliandika mambo mengi sana ila kuna mahala nilitahadharisha hasa kwa Wanasimba wote kuwa kwa aina ambavyo tulikuwa ' tumeroga ' kwa ' kukufuru ' kabisa basi kuna Kitu cha Kushtua kama siyo Kusikitika kingetokea kabla ya Mchezo au katikati ya mchezo na nadhani kimetimia. Kuanzia sasa nawashauri Simba SC tubadili aina ya ' Kuroga ' na turudi tu katika Kitabu cha Mwarabu au ikiwezekana tuiige tabia ya Watani zetu Yanga SC ambao wao kwenda Mahospitalini hasa ' Mochwari ' kubeba Maiti na kwenda Kuifukia Uwanjani na baada ya mechi kuisha na Watu kuondoka huwa wanaifukia na kuirudisha walikoitoa ili Ndugu, Jamaa na Marafiki waendelee na tararibu zao za Mazishi kwa Mpendwa wao huo. Ole wake nione Mtu wa Yanga SC ananibishia katika hili ili sasa nitiririke na niserereke zaidi.
R.I.P Kessy Rajab nakumbuka wakati wa Uhai wako na Kipindi kile ulipokuwa Meneja wa Simba SC ulikuwa ni Rafiki sana na Mchezaji Marehemu Patrick Mutesa Tabu Petit Mafisango ( R.I.P )
mmemtoa kafara mzee Kessy Simba ni wauaji
Lakini ukweli unabaki pale pale kuwa simba wamemtoa kafara. UpoKessy Rajab hakuwa Mzee bali alikuwa ni Mtu mzima wa kati tu. Fanyia Kazi uelewa wako juu ya neno Mzee na ni akina nani wanastahili Kuitwa hivyo.
Lakini ukweli unabaki pale pale kuwa simba wamemtoa kafara. Upo
hamniwezi hiki ni kisiki cha mpingo gusa unase.Na Mechi ijayo tunategemea Kukutoa ' Kafara ' Wewe. Anza Kujiandaa, Kugawa Urithi na Jina lako kubadilika rasmi.
Hawa watu nilijua tuu kwa uchawi wa jana lazima wamtoe kafara mtu wao wa karibu,yametimia.mmemtoa kafara mzee Kessy Simba ni wauaji
Nakubaliana na wewe 100% lakini tatizo hilo limeanzia tokea yupo simba mbona mlimuacha akishangia kishamba hamkuliona hiloNaamini hapa ' message sent and delivered ' vizuri tu.
Nawasilisha.
Na Mechi ijayo tunategemea Kukutoa ' Kafara ' Wewe. Anza Kujiandaa, Kugawa Urithi na Jina lako kubadilika rasmi.
= MrundiNaamini hapa ' message sent and delivered ' vizuri tu.
Nawasilisha.